Jana nilikuwa maeneo ya shinyanga, nilibahatika kuhudhuria mkutano wa kampeni wa Dr Slaa! Pembeni yangu kuna jamaa flani tunabadilishana mawazo kuhusu hali ya siasa huku tukisubir Dr kuanza kumwaga sera.
Baada ya mazungumzo akanipa alichoita siri kuwa "nakwambia ndugu yangu, siku alipokuja JK askari wote pamoja na wafungwa wanaokaribia kumaliza muda wao tuliamuriwa kuvaa kiraia ili tuhudhurie mkutanoni" alisema kwa Dr Slaa hawakupata amri hiyo!