Askari Mgambo – (317 positions) at Dar es Salaam City Council September 2024

Yani hao migambo tutakula nao sahani moja tar23 mwez huu afe kipa afe bek, nife mm wafe wao Sina Cha kupoteza
Maandalizi ya 23/9
Hapana, nafikiri hao ni kwa ajili ya maandalizi ya kupora ushindi kwenye uchaguzi wa siasa wa mwaka huu wa Serikali za mitaa, vijiji na vitongoji.
 
Is it pensionable?
 
Kazi za TISS hizi wale wenye ndoto ya kuingia kitengo chance hii
 
Mgambo hatuheshimiki kabisa hadi mishahara yetu inaanikwa hadharani. Ina maana sisi mgambo hatuna zile scale sijui TGTS D au C?
kwan mgambo mnalipwa na serikali kuu?
mana hzo TGS ni kwa wanaolipwa na serikali kuu mfano walimu
 
Everything is Ok. The only problem is the "salary". It seems to me that "pocket money" would have been sufficient to describe the so called "salary'". This is in line with the daily payment of 10K. Else call it stipend.
 
Nadhani humu comment nyingi zipo out of touch na walala hoi wa Tanzania..., Watu wanaongelea Mgambo kufahamu English ? Nimekutana na Walinzi kibao Degree Holder na Kitaa kuna watu wana Masters na wengine Madaktari hawana ujira..., Sasa mnategemea watu kama hao watakaa njaa au hizi ndio kazi zao ?

Pili watu wanashangaa 300k take home kuna watu wanalipwa nusu ya hio..., kwahio wakuu mkijaribu kuangalia nadhani mtaona....
 
Mgambo awe fluent kwenye kimombo?😂 Hii nchi tulipofika soon watataka hata mgambo uwe na degree tena gpa ya kuanzia 4.
Trafiki tu hawana uwezo wa kuongea kimombo fluent, ndio maana wakikutana na mzungu au raia wa kigeni wanaishia kumpungia tu mkono sembuse mgambo. Waache porojo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…