Wamewekwa kimkakatiHii dunia ya Duara. Tutakutana tu.
Yaani ata kuelezea nashindwa, ila mmenikera sana. Kila anaeingia ofisini kwenu anatoka analalamika. Nikajua labda wao ndio jau.
Kuingia, mnakaripia tu kila mtu. Vitoto vidogo mnakaripia wakubwa zenu kisa mmevaa izo sare za khaki.
Nilishindwa kusoma jina au namba ya badge ila nyie madogo ndio mnaosababisha Maaskari wote wachukiwe.
Ofisi yenu hapo juu ghorofa ya kwanza nje pameandikwa Upelelezi na Uhasibu sijui.
Hakuna aliye juu ya Sheria mkuu!Waache mara Moja!Hii dunia ya Duara. Tutakutana tu.
Yaani ata kuelezea nashindwa, ila mmenikera sana. Kila anaeingia ofisini kwenu anatoka analalamika. Nikajua labda wao ndio jau.
Kuingia, mnakaripia tu kila mtu. Vitoto vidogo mnakaripia wakubwa zenu kisa mmevaa izo sare za khaki.
Nilishindwa kusoma jina au namba ya badge ila nyie madogo ndio mnaosababisha Maaskari wote wachukiwe.
Ofisi yenu hapo juu ghorofa ya kwanza nje pameandikwa Upelelezi na Uhasibu sijui.
Tupe hiyo namba!Tatzo ww hujui Haki zako mkuu. Police sio wa kufokea Raia hata kdogo.
Sisi ndio maboss zao cz mshahara wao n kodi zetu sisi wananchi. Bila kodi zetu wao hawana Mshahara.
So ukiwa unaongea na Police Ongea kikakamavu kama Boss.
Kama wakikusumbua sana piga simu kitengo cha Trafick makao makuu Dodoma.
Mkuu,salaams!Sasa,ungeweka na ma-names yao ili wapewe salamu zao.Hii dunia ya Duara. Tutakutana tu.
Yaani ata kuelezea nashindwa, ila mmenikera sana. Kila anaeingia ofisini kwenu anatoka analalamika. Nikajua labda wao ndio jau.
Kuingia, mnakaripia tu kila mtu. Vitoto vidogo mnakaripia wakubwa zenu kisa mmevaa izo sare za khaki.
Nilishindwa kusoma jina au namba ya badge ila nyie madogo ndio mnaosababisha Maaskari wote wachukiwe.
Ofisi yenu hapo juu ghorofa ya kwanza nje pameandikwa Upelelezi na Uhasibu sijui.
Tupe hiyo namba!
Kwa hapa Osysterbay tupo juu ya sheria aiseeHakuna aliye juu ya Sheria mkuu!Waache mara Moja!
HAYO NI MAZUNGUMZO KATI YA POLISI WA UINGEREZA NA RAIA WAKETatzo ww hujui Haki zako mkuu. Police sio wa kufokea Raia hata kdogo.
Sisi ndio maboss zao cz mshahara wao n kodi zetu sisi wananchi. Bila kodi zetu wao hawana Mshahara.
So ukiwa unaongea na Police Ongea kikakamavu kama Boss.
Kama wakikusumbua sana piga simu kitengo cha Trafick makao makuu Dodoma.
Kikubwa n kijiamini tu. Mimi nmetoka mikonon mwa police mara nyng kwa kujiamin tu.HAYO NI MAZUNGUMZO KATI YA POLISI WA UINGEREZA NA RAIA WAKE
SI POLISI WA NCHI YA KUNUNUA EBOLA NA RAIA WAKE!
ALAAAAHKikubwa n kijiamini tu. Mimi nmetoka mikonon mwa police mara nyng kwa kujiamin tu.
Mara kbao nlipokua chuo nmeomba lift kwenye Defender za Police.
Yatawakuta mtajua!Kwa hapa Osysterbay tupo juu ya sheria aisee
Sawa Mkuu,imependeza sana!
Askari wanatulinda ila wanakera sana.Hebu kunywa maji kisha tueleze nni shida