Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 35,566
- 104,386
Hii dunia ya Duara. Tutakutana tu.
Yaani ata kuelezea nashindwa, ila mmenikera sana. Kila anaeingia ofisini kwenu anatoka analalamika. Nikajua labda wao ndio jau.
Kuingia, mnakaripia tu kila mtu. Vitoto vidogo mnakaripia wakubwa zenu kisa mmevaa izo sare za khaki.
Nilishindwa kusoma jina au namba ya badge ila nyie madogo ndio mnaosababisha Maaskari wote wachukiwe.
Ofisi yenu hapo juu ghorofa ya kwanza nje pameandikwa Upelelezi na Uhasibu sijui.