johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Hata mimi nimesimuliwa tu bwashee na huyu mstaafu!Toa vifungu vya taratibu, sheria, katiba na vilipovunjwa.
Sent from my typewriter using Tapatalk
Wasamehewe tu bwashee hii ni mizuka ya kisiasa!Kina Halima walikosa intelligensia ya kung’amua madhara. Pole zao, tunawaombea wapone ili waendelee na kesi ya uvamizi na kuchana sare ya askari
Ndio maana Mwakibinga kasema vyovyote itakavyokuwa tafsiri ni moja tu!Hayo ni matumizi mabaya ya dola aliyosema bashiru. Waliochana sare ya askari ni mapandikizi ya ccm.
Umeshawahi kuona " kichwa" cha Treni kimechakazwa?!Magari ndio huchakazwa!
Mpinge kwa hoja usilete kejeli bwashee!Huyo askari magereza amestaafu na ujinga wake.
Avitoe avipeleke wapi mkuu!!Toa vifungu vya taratibu, sheria, katiba na vilipovunjwa.
Sent from my typewriter using Tapatalk
Kina Halima walikosa intelligensia ya kung’amua madhara. Pole zao, tunawaombea wapone ili waendelee na kesi ya uvamizi na kuchana sare ya askari
Hahahaaaaa.......!
Hawa askari zetu ukiwapeleka nchi nyingine,wataua sana watu!Maelezo yake ni kweli kwa sababu hawa jamaa wa magereza huwa hawatumii akili ili kufikiri, bali wanatumia makalio.
Wenye kutumia akili huwa wanatumia maarifa kufanya maamuzi, hata poli si wetu vilevile nao sijui wanakwama wapi.
Wanashindwa hata kutafuta ka uwongo kanakofanana na ukweli??
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakati mwingine mtambue kuwa si sheria tu zinazoongoza nchi..! Kuna amri, maelekezo si kila jambo hapa nchini limetungiwa sheria.Toa vifungu vya taratibu, sheria, katiba na vilipovunjwa.
Sent from my typewriter using Tapatalk
Yaani huyu mpumbwavv anataka kusema hata askari magereza akiua mtu yeyote maeneo ya gereza hakuna kosa!!!Afisa mstaafu wa jeshi la magereza ndugu Mwakibinga amenieleza kuwa kilichotokea pale Segerea kati ya akina Halima Mdee na askari walinzi wa gereza ni sawa kabisa na Gari kugongana na Treni kwenye eneo ambalo Reli imevuka barabara " Railway cross Road"
Vyovyote itakavyokuwa tafsiri ni moja tu uwapo eneo la gereza raia unapaswa kuheshimu na kutii maelekezo yote unayopewa na askari au maofisa magereza na si vinginevyo anasema Mwakibinga.
Hata upelelezi wa matukio ya namna hauwezi kuchukua zaidi ya dakika 30 kwa sababu utaratibu wa Magereza kwa wageni uko wazi kabisa, amemalizia Mwakibinga.
Binafsi bado natafakari hii ya " Railway cross Road" mara nyingi magari ndio huchakazwa chakari na kesi hubebeshwa wao, kweli mwenye nguvu mpishe.
Maendeleo hayana vyama!
Nimekuelewa sana bwashee!Wakati mwingine mtambue kuwa si sheria tu zinazoongoza nchi..! Kuna amri, maelekezo si kila jambo hapa nchini limetungiwa sheria.
Katika hili Chadema walichemka jeshini wanatumia zaidi amri si sheria kwenda kubishania gerezani kuliko fanywa na akina Mdee na yaliwapata ni haki yao.
Lakini pia waneshindwa kujitathimini na kuwa na mikakati mipya ya kufanya siasa shindani ndani ya mazingira kinzani.
Sent using Jamii Forums mobile app