Askari, na hili tuwafundishe kuwa siyo sawa?

Askari wanasingiziwa vingi sana, sasa hapa wanahusika vipi?
Hawa waendesha pikipiki wanatoa Side mirror, makusudi kutumia mirro pikipiki inakua ya kizee.

Bahati mbaya akina dada ndiyo wateja wakubwa wa waendesha pikipiki kwa vurugu, hawa ovii chochote wanawaamini, tena utawakuta wachati kabisa.

Tukirudi kwenye Mada, hebu jaribu kutoa side mirror, kwenye Ki ist kako uone, lakini hao boda huwa wanapungiana nao mkono tu, mpaka wenyewe boda, wanaamini sheria za barabarani ni kwa ajili ya magari tu, ingawa nao wakiwa barabarani hujiona wanaendesha gari.
 
Nilishawavunja miguu bodaboda wawili kwa nyakati tofauti kwa uzembe wao wa kukosa side mirror
 
Kwani hao wanaoendesha hawaoni umuhimu wa side mirrors
Ngoja liwapate ndiyo watajuwa

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…