Askari Polisi Afa Maji Akimkimbiza Mtuhumiwa

Mkuu huyu askari ni kweli katumia nguvu kuliko akili.Kwanza hili tukio limetokea siku zimeshapita kidogo lbda taarifa zimechelewa tu kuwafikia.

Ni kama wiki na siku kadhaa zimepita kuna mzee aliibia vitu vyake stationary na wezi walikamatwa saa moja asubui tena na huyu huyu askari marehemu akiwa na askar mwenzake.

Sasa ungekuepo ungeona jinsi huyu marehemu alivyokua akitumia nguvu nyingi kuliko akili.Hao wezi walikua kwanza bado ni watoto lakini jinsi marehemu alivyokua anavyo walazimisha wakubali kuwa wameiba ungewaonea huruma hao wezi.

Aliwapiga sana tena sisi raia tukishuhudia mpaka dogo mmoja alizirai kwa kipigo.siku hata hazijapita nyingi tunapata habar kuwa Afande kavuta baada ya kujarbu kuwa fukuza wakokosi.

Inaonekana huyu marehem alikua anafanya kazi kwa mihemko au ndo tabia yake ya hasira.
 
Alafu mbona huyo marehem na wenzake walikua wanawafukuza wavuvi leo tena wakokosi wamekua majambazi duh..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…