Political stability
JF-Expert Member
- Apr 7, 2021
- 906
- 1,401
Hatubishani, tunaelekezana, kama nipo wrong, unanikosoa..Naona unataka tuanze kubishana maswala ya semantiki.
Na mimi sipo tayari.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatubishani, tunaelekezana, kama nipo wrong, unanikosoa..Naona unataka tuanze kubishana maswala ya semantiki.
Na mimi sipo tayari.
Pole sana.. God knows better!Nilitamani sana kuwa askari nilipomaliza chuo mwaka 2009. Mungu hakupenda iwe hivyo.
jamaa kama aliwai kuwa mvuvi huwezi mpata kizembe hvyo jamaa wanaya jua majiTukio hilo limetokea Mwisenge Musoma wakati Askari huyo akijaribu kumkamata mtuhumiwa huyo wa Ujambazi aliyejitosa ziwani na polisi huyo aliamua kumfuata na kwa bahati mbaya alinasa kwenye nyavu na kuzama majini kwenye Ziwa Victoria
[emoji24][emoji24][emoji24]
Kweli .maana unaweza kuta ataa sio mwizi aliokuwa akimkimbiza .kuna raia wengine wana aleji na polisi doria .kutokana na dhahama inayotolewa na polisi wanapo washika .anyway R.i.p polisi wetuTatizo askari wanahimizwa kutumia nguvu kila mahala badala ya kutumia nguvu na akili.
Ulitaka apige maji na fimbo kama Nabii Mussa?Tatizo askari wanahimizwa kutumia nguvu kila mahala badala ya kutumia nguvu na akili.
ThanksPole sana.. God knows better!