Askari Polisi Afa Maji Akimkimbiza Mtuhumiwa

Accident on duty!

R.I.P njagu.

-Kaveli-
 
Basi Haya ndo matokeo yake.
 
kufa kazini pole kwa familia
 
Kachero haji na Ispector Haji..

R.I.P Kamanda... Amedanja kishujaa akiwa kazini...
 
Nataka kujua Kiwango chake cha ushiriki kwenye kupora kura zetu wkt wa uchaguzi kikoje kabla sijakomenti zaidi
 
Huwa wanalipwa risk allowance hawa kweli?
 
Mbona unaandika kinyonge hivo mshahara ni wa kawaida,kazi ya jeshi ni ngumu aaee!inahitaji morali aaee!siyo kama polisi aaaee pushup kwenye godoro!aeee!
Wewe mchumba usituaminishe uongo wkt uhalisia tunaufahamu.
 
Hawa majambazi tuwaitie alshabab tu hakuna namna nyambafu awa.
 
Tatizo askari wanahimizwa kutumia nguvu kila mahala badala ya kutumia nguvu na akili.
Askari angemsumbiri tu mtuhumiwa ,maana atakaa kwenye maji hadi mda gani ,au kupiga tu simu upande wa pili adakwe
 
Katika dini zote sio ukristo sio uislam mwenyezi mungu anasistiza watu wafanye kazi wapate halali yao kwa maana ya riziki zao.. mwenyezi mungu katika al Quran Kareem suratul jumaa asema na itakapokwisha swala tawanyikeni katika ardhi mkatafute fadhira za mwenyezi mungu pia hata katika biblia mwenyezi mungu asema atafutae hupata pamoja na wosia wote huu bado utakuta muhumini anadharau kazi ya mwenzake, anyways tuachane na hayo labda nikuulize wewe ndugu yangu ambae kwa namna moja au nyingine kuna kazi unaziona hazina maana kwako ni sawa maana sio dhambi wala haram mtu kuwa na vipaumbile vyake katika jambo flani yaani mfano sio haram mtu kuwa na kipaumbile cha kusomea medicine na asiwe askari wala mwalimu lakini tuwe na adabu tusione kama vipaumbele vyetu(kazi zetu) ni bora zaidi au muhimu zaidi kuliko kazi za watu wengine, mtu anakula anakula halali yake afu wewe unaizungumzia kazi yake kwa ubaya kama vile ni kazi flani haram hivi au isiyofaa hivi sio kitu kizuri kwakweli, pengine kwenye maisha yako ya kila siku wamuitajia zaidi huyo askari kuliko hata huyo unaemuona ni mbora zaidi au ndio kazi bora zaidi kulingana na mtazamo wako...hufai kudharau halali mtu pia sio haram mtu kuwa na vipaumbile vyako..
 
 
Inaonyesha huyo Jambazi ramani yote ya Ziwa na wapi Nyavu zipo na jinsi ya Kuzitambuka ili asinase anajua tofauti na Polisi ( Marehemu ) ambaye alikurupuka tu na analijua Ziwa Victoria Kimazoea ambapo na lenyewe pia limemzoea Kimoja hadi Kaburini.
 
Pumzika kwa amani mwana mwema wa mamaTanganyika! Poleni wafiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…