Askari Polisi aliyevuma sana miaka 90. RIP Mkama Sharp

Hivi sasa kizazi cha askari wa aina ile sjui kimepotelea wapi
 
Hongera kwa kuhave sweet kibabu! Am sure kibabu sio kibamia... Maana sio kwa kuwa proud naye hivi... πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Hahahaaaa aseeee wewe si umeniita kibibi?
Basi ujue penye bibi pana babu.
Tena babu wa nguvu hasa anaye jiweza kimwili hahahaaaaa.
Ahsante mjukuu wetu.[\b][\I]
 
Mkama Sharp umenikumbusha mbali hasa shamba la bibi ikiwa inacheza Yanga na Sigara ya akina Marehemu Joseph Katuba (RIP)
Sigara hapa namba 1 mahamoud nyalusi 2 suleiman mkati 3 aziz nyoni "njalambaya" 4 Peter Lucas kaka yake George lucas "gazza" aliekuwa anachezea simba 5 maarufu yassin 6 muscut said 7 rashid mmanga 8 abdallah sumbwa 9 gebo peter 10 muhidin sisso 11 shabban anania, kocha mkuu marehemu mansur magram hiyo mwaka 1988 mkuu.
 
Abassi
Umenikumbusha mbali sana. Mashaallah
 
Hebu nitajiye team list wa 1988 ya nyota nyukundu, bia (pilsner)
 
Nasikia wengi wa wachezaji hawa wamefariki. Je ni kweli hii!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…