cleokippo
JF-Expert Member
- Dec 21, 2014
- 2,118
- 1,797
Kijana mmoja almaarufu kwa jina la SON mkazi wa Sengerema jijini Mwanza amekuwa gumzo kwa wakazi wa wilaya hiyo kwa kujifanya askari wa jeshi la polisi.
Kijana huyo mwenye mtandao mkubwa wa marafiki ambao ni ma askari amekuwa akitumia fursa hiyo ya kujuana na ma askari na yeye kujifanya askari.
Kijana huyo amekuwa kero sana hasa kwa madereva wa vyombo vya moto kwasababu amekuwa akiwakamata sana na kuwabambikizia makosa ili tu aweze kuachiwa chochote kitu.
SON! Amekuwa akiwabambikizia watu makosa mbele ya askari wa jeshi la polis wa usalama barabarani uku askari hao wakimuangalia tu ili baadae apeleke hesabu kwa askari hao.
Kijana huyu hatari amekuwa akijihusisha pia kuwatapel watu wenye matatizo pale polisi kwa madai kwamba yeye anauwezo mkubwa wa kuwatatulia changamoto zao kwakuwa tu maaskari wengi pale kituoni anafahamiana nao.
Hivyo basi serikali immulike huyu kijana ikibaini tu uharamia anaoufanya imchukulie hatua kali za kinidhamu kwani kitendo anachokifanya ni kudhalilisha jeshi la polisi. SON, anapatikana sana Nyatukala stand ndogo ya Geita wilayani Sengerema.
Kuanzi asubuh mpaka jua linazama yeye ni kufanya tu utapel kwa madereva wa vyombo vya moto
HITIMISHO: A skari wa jeshi la polisi wilaya ya Sengerema acheni kutumika vibaya na huyo kijana Almaarufu kwa jina la SON
Kufanya hivyo ni kukiuka maadili ya jeshi la polis