Nimeandika kwa maskitiko makubwa sana....!!
Nikiwa kama miongon mwa raia wema, nimeandika kwa niaba ya madereva na wamiliki wa vyombo vya moto wilayan sengerema,
Lengo la uzi huu ni kutoa malalamiko kwa serikali ya mama SSH kummulika kwa jicho la tatu mkuu wa usalama barabarani wa wilaya ya sengerema kwa kukiuka maadili ya jeshi la polisi kwa kufanyakazi na watu wanaosadikika ni matapeli
Mkuu huyo wa jeshi la usalama barabarani amekuwa akimtumia chawa wake kuwabambikizia watu makosa na kuchukua rushwa kisha kugawana
Chawa huyo almaarufu kwa jina la SON huwa anapatikana sana maeneneo nyatukala ( stand ndogo ya kuelekea Geita katika wilaya ya sengerema
Chawa huyo mara kwa mara huonekana akikamata magar , bajaj na bodaboda uku DTO akiwa pemben anaangalia hesabu inayopatikana kutoka kwa chawa huyo hali inayopelekea wakaz wengi wa sengerema kuhoj kulikon DTO afanye kazi na yule tapel (SON)
baadhi ya wakazi wengine wanaamin kama yule chawa ni askar hali inayopelekea akiwatisha kidogo tu huwa wanamuachia chochote
Hivyo bas nikiwa kama mwana sengerema narudia tena serikali ummulike DTO wa sengerema na ikithibitika kama ni kwel bas imchukulie hatua kali za kinidham kwan anachofanya ni kinyume na maadili ya jeshi la polis
HITIMISHO: DTO wilaya ya sengerema, acha kabisa kutumia hao matapel akina SON kupoka haki za madereva & wamiliki wa vyombo vya moto