Makosa ako na huyo polisi mpumbavu. Vile hiyo hela mazee angeitumia kujisomesha mwenyewe. Halafu huyo Manzi angeishia kwenye kumpendanga tu.Iko askari mpumbavu aliamua kumsomesha mpenzi wake chuo kikuu alitumia takriban 800,000 za kenya baada ya kuhitimu mpenziwe alimuacha na kusema ako na elimu zaidi ya polisi.
Polisi alimfuata kwake na kumpiga risasi kumi na saba.
Je, makosa ni ya nani?
Kwa mfano kama hapa Malawi arudie form4 ? Angeweza?Makosa ako na huyo polisi mpumbavu. Vile hiyo hela mazee angeitumia kujisomesha mwenyewe. Halafu huyo Manzi angeishia kwenye kumpendanga tu.
Makosa RISASIIko askari mpumbavu aliamua kumsomesha mpenzi wake chuo kikuu alitumia takriban 800,000 za kenya baada ya kuhitimu mpenziwe alimuacha na kusema ako na elimu zaidi ya polisi.
Polisi alimfuata kwake na kumpiga risasi kumi na saba hadi kufa.
Je, makosa ni ya nani?
KUSOMESHA NI KAZI YA WAZAZIHuyo askari ni fala tu, angeishia kula mbususu tu and then waachane salama na huyo demu. Somesha kama msaada/ufadhili tu huku ukila mbususu usitegemee demu aje kuwa mke wako wa maisha