Askari Polisi mwenye fani anapokea mshahara kiasi gani?

Askari Polisi mwenye fani anapokea mshahara kiasi gani?

Kwanza hata anachotaka kujua hakieleweki...Mshahara mara posho ukijiunga,hajui kabisa kwamba Serikalini kuna madaraja ya mishahara na wala hajawahi kusikia tetesi...Injinia huyo sasa,sijui kule VETA ndiyo kukoje aisee
Ona ili nalo linakurupuka kama lipo usingizini ... Kama limebanwa kunya ... Tatizo watu wa umu baadhi mmeshazoea kuropoka ropoka kama wanawake amnaga la kujib kama uwez kujib siutulize tako πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ acha wenge bro soma elewa jibu kama unaweza kama uwez kitulize
 
Msaidie kama unaelewa, sisi watanzania wengi ni vilaza. Kauliza kwa mwenye uelewa amsaidie kumuelewesha. Unapomaliza chuo huwa ni ngumu sana kufahamu kila kitu, ndio maana unawatafuta wenye uzoefu wakutoe tongo tongo.

Unakuta umepewa option uchaugue JWTZ au POLISI, na wewe ni Engineer tena new graduate huna hili wa lile, hivyo sioni kosa lake.

Anataka afahamu wapi kunamaokoto mengi, maana siku hizi maisha ni pesa.
Bro sikuiz πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kuna manaume kama mamama mtu ameuliza lingine linakuja linalopoka kama jinga πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mwingine unakuta yupo private anauliza acompare masilahi ... Lingine linafika linabwabwaja ...ndo tanzania yetu hii kaka yamejaa malopokaji kama manamake πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ tuwaaache tu
 
Kazi ya majeshi huyo haiwezi inahitaji unyenyekevu pia,maana hata uingie kule ukiwa Profesa,ni lazima uwe kuruta/Private na ukianza kazi utalipwa mshahara wa kada hizo...Hautalipwa digrii bali itakusaidia kupanda cheo mapema,na cheo ndiyo maokoto menyewe,sasa yeye tayari kwa kuwa injinia ameshajiona ni wa pekee sana na wa muhimu kuliko...
Ona uyu nae πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kama vile yupo kichwani mwa mhusika πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kama jinga tu
 
Kazi ya majeshi huyo haiwezi inahitaji unyenyekevu pia,maana hata uingie kule ukiwa Profesa,ni lazima uwe kuruta/Private na ukianza kazi utalipwa mshahara wa kada hizo...Hautalipwa digrii bali itakusaidia kupanda cheo mapema,na cheo ndiyo maokoto menyewe,sasa yeye tayari kwa kuwa injinia ameshajiona ni wa pekee sana na wa muhimu kuliko...
kaka majibu yako yanaonesha ni mtu wa chuki maana hakuna mahali amesema yeye ni engineer au amesema yeye ni wa pekee kuliko wengine kama una uelewa ni vyema kumfahamisha tu kuliko kumfedhehesha mtu
 
Nijuavyo mimi JWTZ ukiwa na degree enzi zetu ulikuwa unaenda moja kwa moja Cadet,Ukitoka cadet unarudi na nyota moja(Luteni usu), baada ya muda unapata mbili luteni, kwa madaktari walikuwa wanaanzia Major kuendelea.

Kwa upande wa Polisi ndio sijui rank zao zikoje huko ndio maana nikasema kama unauelewa msaidie.
Hapa humuoni huwezi jua anaweza kunyenyekea akakushangaza.

Mimi nilikuwa siwezi kabisa kumyenyekea mtu, nilikuwa mtukutu sana tangu utotoni, lakini nilishangaa ukubwani nilijifunza kunyenyekea, kwa sababu kwenye maisha unaweza ukajifanya mjinga kwa muda mfupi yanapiata na ukaendelea na kiburi chako huko uendako.

Mpe shule unaweza kumsaidia kwa namna usiyoweza kuijua.
Asante bro... Tanzania tungekua na watu kama ww tungefika mbali ...sana ... Saiv tumejawa na tanzania ya walopokaji tu yan kuna watu kax yao n kuingia na kulopoka tu kwenye maswali ya watu... Yan unakuta alinaga lolote linalofanya umu n ku comment ujinga tu πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kazi ya majeshi huyo haiwezi inahitaji unyenyekevu pia,maana hata uingie kule ukiwa Profesa,ni lazima uwe kuruta/Private na ukianza kazi utalipwa mshahara wa kada hizo...Hautalipwa digrii bali itakusaidia kupanda cheo mapema,na cheo ndiyo maokoto menyewe,sasa yeye tayari kwa kuwa injinia ameshajiona ni wa pekee sana na wa muhimu kuliko...
kaka majibu yako yanaonesha ni mtu wa chuki maana hakuna mahali amesema yeye ni engineer au amesema yeye ni wa pekee kuliko wengine kama una uelewa ni vyema kumfahamisha tu kuliko kumfedhehesha
 
kaka majibu yako yanaonesha ni mtu wa chuki maana hakuna mahali amesema yeye ni engineer au amesema yeye ni wa pekee kuliko wengine kama una uelewa ni vyema kumfahamisha tu kuliko kumfedhehesha
Bora ata umemuambia yani izo akili zake mm naonaga wadada na wamama ndo wanazo nashangaa kuziona kwa watoto wa kiume yani mtu anaongea kama kakatwa kichwa ... Yani mtu kama ajui jibu anajiongelea tu ilimlad na yeye aonekane ali comment kama lijinga tu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Miyeyusho sana yani comment mbaya sana adi inashangaza sana
 
Miyeyusho sana yani comment mbaya sana adi inashangaza sana
Ujue sometimes mtu unauliza u compare masilahi uezi kwenda kwenda kuna watu n wajuzi wanajua ila sas majinga kaka n mengi ...unauliza limtu linajibu kama lilevi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
vijana wa sikuhizi mna shida sana.huna kazi unaulizia hadi mpangilio wa posho.
Wewe ndo huna kazi ... Nani kakuambia mimi sina kazi... Auna jibu lolote unalopoka kama dada ako tu ... Sanyingine mtu anauliza ku compare masilahi tunachojali ni pesa wapi zipo nyingi ata kama ingekua n wewe ungeuliz...tatizo tanzania yetu imejaza wajinga weng kama wewe na awapungui mnawaambukiza ad wengine na mwisho wa siku ad watoto wenu
 
Ona ili nalo linakurupuka kama lipo usingizini ... Kama limebanwa kunya ... Tatizo watu wa umu baadhi mmeshazoea kuropoka ropoka kama wanawake amnaga la kujib kama uwez kujib siutulize tako πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ acha wenge bro soma elewa jibu kama unaweza kama uwez kitulize
Kwa akili hizi.....
 
Back
Top Bottom