"Kama mwenyekiti wa Mtandao wa Askari wa Kike Mkoa wa Arusha, na waomba sana wananchi tupendane. Mtupende. Mimi nasema polisi ni kama jalala. Polisi ni kama hovyo hovyo. Utamkataa leo polisi, kesho huyo anakuja kukubeba. Kesho huyo anakuja kukunyanyua. Kesho huyo anakuja kukamatia mwizi wako. Kesho huyo anarudisha mali yako.
Unajua juzi nilikuwa na mfano mdogo kaajabu. Mtu ametokewa na mbwa, wiki nzima anahangaika. Mbwa wake ka kizungu vile vidogo. Matokeo yake ametafuta wiki nzima, amekuja kukuta tunakatunza polisi. Yule mtu mpaka amelia, 'Ha! Yaani hata mbwa mnaweza kumtunza?' Nikamwambia hata mbwa ni mali ya mtu. Kazi ya polisi ni kulinda usalama wa raia na mali zao. Kwa hiyo mali yoyote hata kama daftari kama hili utalikuta polisi.
Kwa hiyo usije ukamdharau polisi. Polisi ni kitu chako cha ukweli ukweli. Ni msada wako. Anayemchukia polisi ni kama anajichukia mwenyewe, hajijui. Tupendane, sisi tuko tayari kuwapigania, kuhakikisha mnakuwa salama na mali zenu zinakuwa salama. Machuki madogo madogo na mengine mengine tuyaache, tuangalie kazi ya polisi na uangalie je, polisi walikuharibu wapi?
Polisi ni watu wako, ni ndugu zako, ni wapendwa wako. Watakuokota, watakubeba popote pale. Mwito wangu kwa jamii ni kwamba tushirikiane—polisi pamoja na wananchi. Lakini sisi tuombe pia kwa ajili ya siku ya leo, tuwaombe tu kwamba mtu yeyote pale alipo, mhitaji sio kwamba anaweza kuwa kwenye kituo tu, anaweza kuwa pia yuko jirani yako. Muone, hata wa jirani yako ni mhitaji, muone msaidie. Mhitaji yoyote, unaona huyu ni mhitaji, msaidie. Awe yatima, mwingine anaweza kuwa sio yatima lakini bado ni mhitaji. Tuwasaidie watu wote kwa moyo wote, na Mungu atatubariki."
Hawa polisi wenu nao wana maajabu yao.Matokeo yake ametafuta wiki nzima, amekuja kukuta tunakatunza polisi. Yule mtu mpaka amelia, 'Ha! Yaani hata mbwa mnaweza kumtunza?' Nikamwambia hata mbwa ni mali ya mtu. Kazi ya polisi ni kulinda usalama wa raia na mali zao. Kwa hiyo mali yoyote hata kama daftari kama hili utalikuta polisi.
So detached from reality
"Kama mwenyekiti wa Mtandao wa Askari wa Kike Mkoa wa Arusha, na waomba sana wananchi tupendane. Mtupende. Mimi nasema polisi ni kama jalala. Polisi ni kama hovyo hovyo. Utamkataa leo polisi, kesho huyo anakuja kukubeba. Kesho huyo anakuja kukunyanyua. Kesho huyo anakuja kukamatia mwizi wako. Kesho huyo anarudisha mali yako.
Unajua juzi nilikuwa na mfano mdogo kaajabu. Mtu ametokewa na mbwa, wiki nzima anahangaika. Mbwa wake ka kizungu vile vidogo. Matokeo yake ametafuta wiki nzima, amekuja kukuta tunakatunza polisi. Yule mtu mpaka amelia, 'Ha! Yaani hata mbwa mnaweza kumtunza?' Nikamwambia hata mbwa ni mali ya mtu. Kazi ya polisi ni kulinda usalama wa raia na mali zao. Kwa hiyo mali yoyote hata kama daftari kama hili utalikuta polisi.
Kwa hiyo usije ukamdharau polisi. Polisi ni kitu chako cha ukweli ukweli. Ni msada wako. Anayemchukia polisi ni kama anajichukia mwenyewe, hajijui. Tupendane, sisi tuko tayari kuwapigania, kuhakikisha mnakuwa salama na mali zenu zinakuwa salama. Machuki madogo madogo na mengine mengine tuyaache, tuangalie kazi ya polisi na uangalie je, polisi walikuharibu wapi?
Polisi ni watu wako, ni ndugu zako, ni wapendwa wako. Watakuokota, watakubeba popote pale. Mwito wangu kwa jamii ni kwamba tushirikiane—polisi pamoja na wananchi. Lakini sisi tuombe pia kwa ajili ya siku ya leo, tuwaombe tu kwamba mtu yeyote pale alipo, mhitaji sio kwamba anaweza kuwa kwenye kituo tu, anaweza kuwa pia yuko jirani yako. Muone, hata wa jirani yako ni mhitaji, muone msaidie. Mhitaji yoyote, unaona huyu ni mhitaji, msaidie. Awe yatima, mwingine anaweza kuwa sio yatima lakini bado ni mhitaji. Tuwasaidie watu wote kwa moyo wote, na Mungu atatubariki."
Kwani polic si watu?Mimi Binafsi sijawahi kumchukia Mtu.
Lakini nikiwaona Polisi Huwa siwapendi mno
Nawachukia sana.
sahihi 🐒

Tatizo lenu polisi Tanzania mnawafira/wanajisi/wabaka na kuwaua mnaowakamata.Jiteteeni kwa hilo tuwasikie.
CC;Ndugu Mwangi,Mwananchi wa kutoka KE.
Bora wamejua kuwa tunawachukia...na bado
Luka 3:14:
"Askari nao wakamwuliza, wakisema, Na sisi tufanye nini? Akawaambia, Msimdhulumu mtu awaye yote, wala msimshtaki mtu kwa uongo; tena uridhike na mishahara yenu."
Hata kusikiliza haona chuki sana mtu akiitwa polisi kuna jamaaa yangu baba yake police mko x yaaana hamtaki hata kuongea nae