Askari Polisi: Polisi ni kitu chako cha ukweli ukwelii, anayemchukia Polisi ni kama unajichukia Mwenyewe

Kuna siku nilikuwa naendesha gari ikatokea askari wawili wamepakizana kwenye pikipiki mbele yangu wanataka kukatiza while mimi nipo speed kubwa coz nilikuwa nawahi msafara uliokuwa unakuja nyuma yangu (kukimbiza gari yalikuwa maelekezo kwa ishara niliyopewa na trafiki aliyekuwa mbele yangu) basi bwana wale askari wakataka kukatiza gafla pale nashukuru nilijitahidi kuwakwepa lakini niliokuwa nimewapakia wote walilaani wakasema ungewagonga kabisa mb........
Kifupi ni kwamba hawa jamaa hawapendi kabisa hata mimi basi tu ni binadamu wenzetu tutafanyaje

Ungepita nao kibati shwaaaa.
 
Hawa polisi wenu nao wana maajabu yao.
wana uwezo wa kutunza mbwa lakini hawana uwezo kutunza uhai wa binadamu, na sio tu binadamu, hawana uwezo wa kuheshimu uhai hata wa askari polisi wenzako, kiasi kwamba wakiambiwa ng'ata na wao wanang'ata bila hata kuuliza kama vile malofa fulani.

Wanashangaza kwa kweli, sasa sijui mbwa na Soka, Ben saa nane, kibao, na Pole pole yupi ana thamani.
 
Ni kweli. Wananchi pia wakumbuke ni haki yao kikatiba kuomba hifadhi kituo cha polisi pale wanapoona wamepotea au ni usiku sana na hawana pa kwenda.
 
"Kama mwenyekiti wa Mtandao wa Askari wa Kike Mkoa wa Arusha, na waomba sana wananchi tupendane. Mtupende. Mimi nasema polisi ni kama jalala. Polisi ni kama hovyo hovyo. Utamkataa leo polisi, kesho huyo anakuja kukubeba. Kesho huyo anakuja kukunyanyua. Kesho huyo anakuja kukamatia mwizi wako. Kesho huyo anarudisha mali yako.

Unajua juzi nilikuwa na mfano mdogo kaajabu. Mtu ametokewa na mbwa, wiki nzima anahangaika. Mbwa wake ka kizungu vile vidogo. Matokeo yake ametafuta wiki nzima, amekuja kukuta tunakatunza polisi. Yule mtu mpaka amelia, 'Ha! Yaani hata mbwa mnaweza kumtunza?' Nikamwambia hata mbwa ni mali ya mtu. Kazi ya polisi ni kulinda usalama wa raia na mali zao. Kwa hiyo mali yoyote hata kama daftari kama hili utalikuta polisi.

Kwa hiyo usije ukamdharau polisi. Polisi ni kitu chako cha ukweli ukweli. Ni msada wako. Anayemchukia polisi ni kama anajichukia mwenyewe, hajijui. Tupendane, sisi tuko tayari kuwapigania, kuhakikisha mnakuwa salama na mali zenu zinakuwa salama. Machuki madogo madogo na mengine mengine tuyaache, tuangalie kazi ya polisi na uangalie je, polisi walikuharibu wapi?

Polisi ni watu wako, ni ndugu zako, ni wapendwa wako. Watakuokota, watakubeba popote pale. Mwito wangu kwa jamii ni kwamba tushirikiane—polisi pamoja na wananchi. Lakini sisi tuombe pia kwa ajili ya siku ya leo, tuwaombe tu kwamba mtu yeyote pale alipo, mhitaji sio kwamba anaweza kuwa kwenye kituo tu, anaweza kuwa pia yuko jirani yako. Muone, hata wa jirani yako ni mhitaji, muone msaidie. Mhitaji yoyote, unaona huyu ni mhitaji, msaidie. Awe yatima, mwingine anaweza kuwa sio yatima lakini bado ni mhitaji. Tuwasaidie watu wote kwa moyo wote, na Mungu atatubariki."
Police wema popote pale walipo, ninaomba Mwenyezi Mungu aendelee kuwalinda na kuwabariki.
 
Polisi wakitaka wapendwe wafanye kazi kwa weledi na si vinginevyo.Mkatae kutumwa na wanasiasa kuwateka watu kama mnavyoteka wa kina polepole ,mdude,soka na wengine.Siku zote ukifanya matendo ambayo jamii inayafurahia lazima upendwe na jamii na utaifurahia kazi yako.
 
Polisi kosa lenu kubwa mnafanya kazi za kisiasa badala ya kufanya kazi za taaluma zenu
 
Inatakiwa ifanyiwe reform ya hali juu mno! Inshort jeshi la polisi linahitaji OVERHAUL
Sasa hapo hutakiwi kuwachukia polisi Bali inatakiwa kuchukia watu walio weka mfumo unao wafanya washindwe kufanya kazi zao Kwa weledi.
Kiufupi polisi wanafanya kazi kutokana na matakwa ya raisi aliyeko madarakani na hawana uwezo wa kulikwepa hilo kutokana na nguvu aliyo nayo rais.
 
Nani kamwambia wanachukiwa?
Huyo mtu kamwambia kwanini wanachukiwa?

Kupendwa hakulazimishwi, ni kitu kinachotengenezwa..
 
Polisi wakitaka wapendwe wafanye kazi kwa weledi na si vinginevyo.Mkatae kutumwa na wanasiasa kuwateka watu kama mnavyoteka wa kina polepole ,mdude,soka na wengine.Siku zote ukifanya matendo ambayo jamii inayafurahia lazima upendwe na jamii na utaifurahia kazi yako.
Hawawezi kufanya kazi Kwa weledi wakati mfumo wao wa kufanya kazi hauna weledi.

Polisi wanafuata maelekezo ya raisi aliyeko madarakani na ndo kiapo chao kinacho sema hivyo hawana jinsi.
 
Sasa hapo hutakiwi kuwachukia polisi Bali inatakiwa kuchukia watu walio weka mfumo unao wafanya washindwe kufanya kazi zao Kwa weledi.
Kiufupi polisi wanafanya kazi kutokana na matakwa ya raisi aliyeko madarakani na hawana uwezo wa kulikwepa hilo kutokana na nguvu aliyo nayo rais.

Shida ni wataishi vipi bila hiyo kazi,,,
 
"Kama mwenyekiti wa Mtandao wa Askari wa Kike Mkoa wa Arusha, na waomba sana wananchi tupendane. Mtupende. Mimi nasema polisi ni kama jalala. Polisi ni kama hovyo hovyo. Utamkataa leo polisi, kesho huyo anakuja kukubeba. Kesho huyo anakuja kukunyanyua. Kesho huyo anakuja kukamatia mwizi wako. Kesho huyo anarudisha mali yako.

Unajua juzi nilikuwa na mfano mdogo kaajabu. Mtu ametokewa na mbwa, wiki nzima anahangaika. Mbwa wake ka kizungu vile vidogo. Matokeo yake ametafuta wiki nzima, amekuja kukuta tunakatunza polisi. Yule mtu mpaka amelia, 'Ha! Yaani hata mbwa mnaweza kumtunza?' Nikamwambia hata mbwa ni mali ya mtu. Kazi ya polisi ni kulinda usalama wa raia na mali zao. Kwa hiyo mali yoyote hata kama daftari kama hili utalikuta polisi.

Kwa hiyo usije ukamdharau polisi. Polisi ni kitu chako cha ukweli ukweli. Ni msada wako. Anayemchukia polisi ni kama anajichukia mwenyewe, hajijui. Tupendane, sisi tuko tayari kuwapigania, kuhakikisha mnakuwa salama na mali zenu zinakuwa salama. Machuki madogo madogo na mengine mengine tuyaache, tuangalie kazi ya polisi na uangalie je, polisi walikuharibu wapi?

Polisi ni watu wako, ni ndugu zako, ni wapendwa wako. Watakuokota, watakubeba popote pale. Mwito wangu kwa jamii ni kwamba tushirikiane—polisi pamoja na wananchi. Lakini sisi tuombe pia kwa ajili ya siku ya leo, tuwaombe tu kwamba mtu yeyote pale alipo, mhitaji sio kwamba anaweza kuwa kwenye kituo tu, anaweza kuwa pia yuko jirani yako. Muone, hata wa jirani yako ni mhitaji, muone msaidie. Mhitaji yoyote, unaona huyu ni mhitaji, msaidie. Awe yatima, mwingine anaweza kuwa sio yatima lakini bado ni mhitaji. Tuwasaidie watu wote kwa moyo wote, na Mungu atatubariki."
Police wa civilized county tena wao wanaita POLICE SERVICES

Kama alikua hajui HILO JESHI LINAITWA POLICE FORCE

Asituletee zake za kuleta POLICE HAWA HAWA PANGU PAKAVU WEKA MCHUZI TULE
 
"Kama mwenyekiti wa Mtandao wa Askari wa Kike Mkoa wa Arusha, na waomba sana wananchi tupendane. Mtupende. Mimi nasema polisi ni kama jalala. Polisi ni kama hovyo hovyo. Utamkataa leo polisi, kesho huyo anakuja kukubeba. Kesho huyo anakuja kukunyanyua. Kesho huyo anakuja kukamatia mwizi wako. Kesho huyo anarudisha mali yako.

Unajua juzi nilikuwa na mfano mdogo kaajabu. Mtu ametokewa na mbwa, wiki nzima anahangaika. Mbwa wake ka kizungu vile vidogo. Matokeo yake ametafuta wiki nzima, amekuja kukuta tunakatunza polisi. Yule mtu mpaka amelia, 'Ha! Yaani hata mbwa mnaweza kumtunza?' Nikamwambia hata mbwa ni mali ya mtu. Kazi ya polisi ni kulinda usalama wa raia na mali zao. Kwa hiyo mali yoyote hata kama daftari kama hili utalikuta polisi.

Kwa hiyo usije ukamdharau polisi. Polisi ni kitu chako cha ukweli ukweli. Ni msada wako. Anayemchukia polisi ni kama anajichukia mwenyewe, hajijui. Tupendane, sisi tuko tayari kuwapigania, kuhakikisha mnakuwa salama na mali zenu zinakuwa salama. Machuki madogo madogo na mengine mengine tuyaache, tuangalie kazi ya polisi na uangalie je, polisi walikuharibu wapi?

Polisi ni watu wako, ni ndugu zako, ni wapendwa wako. Watakuokota, watakubeba popote pale. Mwito wangu kwa jamii ni kwamba tushirikiane—polisi pamoja na wananchi. Lakini sisi tuombe pia kwa ajili ya siku ya leo, tuwaombe tu kwamba mtu yeyote pale alipo, mhitaji sio kwamba anaweza kuwa kwenye kituo tu, anaweza kuwa pia yuko jirani yako. Muone, hata wa jirani yako ni mhitaji, muone msaidie. Mhitaji yoyote, unaona huyu ni mhitaji, msaidie. Awe yatima, mwingine anaweza kuwa sio yatima lakini bado ni mhitaji. Tuwasaidie watu wote kwa moyo wote, na Mungu atatubariki."
 
Attachments

  • VID-20260829-WA0036.mp4
    14.7 MB

Mazafakas wafanye kazi kwa mujibu wa viapo vyao badala ya kulinda maslahi binafsi ya watawala na kufanya uhalifu dhidi ya raia!
 
Back
Top Bottom