Askari Polisi: Polisi ni kitu chako cha ukweli ukwelii, anayemchukia Polisi ni kama unajichukia Mwenyewe


Ungepita nao kibati shwaaaa.
 

Wanashangaza kwa kweli, sasa sijui mbwa na Soka, Ben saa nane, kibao, na Pole pole yupi ana thamani.
 
Ni kweli. Wananchi pia wakumbuke ni haki yao kikatiba kuomba hifadhi kituo cha polisi pale wanapoona wamepotea au ni usiku sana na hawana pa kwenda.
 
Police wema popote pale walipo, ninaomba Mwenyezi Mungu aendelee kuwalinda na kuwabariki.
 
Polisi wakitaka wapendwe wafanye kazi kwa weledi na si vinginevyo.Mkatae kutumwa na wanasiasa kuwateka watu kama mnavyoteka wa kina polepole ,mdude,soka na wengine.Siku zote ukifanya matendo ambayo jamii inayafurahia lazima upendwe na jamii na utaifurahia kazi yako.
 
Polisi kosa lenu kubwa mnafanya kazi za kisiasa badala ya kufanya kazi za taaluma zenu
 
Inatakiwa ifanyiwe reform ya hali juu mno! Inshort jeshi la polisi linahitaji OVERHAUL
Sasa hapo hutakiwi kuwachukia polisi Bali inatakiwa kuchukia watu walio weka mfumo unao wafanya washindwe kufanya kazi zao Kwa weledi.
Kiufupi polisi wanafanya kazi kutokana na matakwa ya raisi aliyeko madarakani na hawana uwezo wa kulikwepa hilo kutokana na nguvu aliyo nayo rais.
 
Nani kamwambia wanachukiwa?
Huyo mtu kamwambia kwanini wanachukiwa?

Kupendwa hakulazimishwi, ni kitu kinachotengenezwa..
 
Hawawezi kufanya kazi Kwa weledi wakati mfumo wao wa kufanya kazi hauna weledi.

Polisi wanafuata maelekezo ya raisi aliyeko madarakani na ndo kiapo chao kinacho sema hivyo hawana jinsi.
 

Shida ni wataishi vipi bila hiyo kazi,,,
 
Police wa civilized county tena wao wanaita POLICE SERVICES

Kama alikua hajui HILO JESHI LINAITWA POLICE FORCE

Asituletee zake za kuleta POLICE HAWA HAWA PANGU PAKAVU WEKA MCHUZI TULE
 
 

Attachments

  • VID-20260829-WA0036.mp4
    14.7 MB
Mazafakas wafanye kazi kwa mujibu wa viapo vyao badala ya kulinda maslahi binafsi ya watawala na kufanya uhalifu dhidi ya raia!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…