Askari Polisi: Polisi ni kitu chako cha ukweli ukwelii, anayemchukia Polisi ni kama unajichukia Mwenyewe

Muundo ukibadilishwa kutoka Police force kwenda Police service, naweza kutafakari kubadili maamuzi. Kwa sasa ngoja nibakie na msimamo wangu wa muda mrefu wa kuwachukia hawa viumbe.
 
Mbwa takataka Kabisa hizi ,polisi mavi ya nguruwe stupid ,nchi hii kuna polisi au vinyesi vya nguruwe ,ona hii kenge mbwa takataka
 
Condoms za samia Na abduli ,misukule ya Zanzibar gang ,mbwa takataka
 
Mkuu kama wewe ni polisi jua tu kuwa hatuwapendi mnoo
 
Vipi kuhusu hawa wanaojitambulisha kuwa ni police,wanawakamata watu na baadaye kutopatikana,kuteswa ama kuuliwa kabisa anawazungumziaje?
 
Ni kweli. Wananchi pia wakumbuke ni haki yao kikatiba kuomba hifadhi kituo cha polisi pale wanapoona wamepotea au ni usiku sana na hawana pa kwenda.
Ukiomba hifadhi unawekwa selo au kuna lodge?
 
TANZANIA POLICE SERVICE SPECIAL THREAD ianzishwe humu wawe wanatujibu kama anavyofanya Dr D Gwanjima na Matanesiko etc

Police tumieni majukwaa kama haya kuelimisha raia juu ya mambo ya kipolisi polisi, wengi hawajui taratibu mfano mtu anakamatwa kwa kufuata utaratibu gani? Ukifikishwa kituoni ufanyeje etc etc
 
Ni sahihi. Polisi wameajiriwa kihalali na wanalipwa mshahara kwa kodi zetu.
Wengi wa Askari Polisi ni marafiki zetu na ndugu zetu Ila tu wapo Polisi wachache ndo wanalichafua sana Jeshi la Polisi. Ipo mifano mingi sana ya vituko vya Polisi e.g. Polisi wa barabarani akikusimamisha lazima ataliona kosa na ataridhia chap "'Mmalizane papo kwa papo". Tena Pale Kituoni wapo askari Polisi ambao kama unaishu au tuhuma yeyote ya uvunjifu wa Sheria na umekamatwa; yule Afisa atakayekabidhiwa faili lako ili afanye upelelezi wa Tuhuma dhidi yako lazima "Muyajenge". Halafu wapo Askari wanaotumwa kumkamata mtuhumiwa wa Uhalifu; hawa kabla hawajakufikisha Kituoni wanaweza kukuzushia maneno ya kejeli au kukutendea jeuri bila sababu yeyote ya msingi e.g. kukupiga "tanganyika jeki" ilhali umetii na unatembea bila shida/changamoto dhidi yao. Tena yupo yule mwandishi wa Maelezo yako. Huyo anakuuliza maswali "Maswali ya kiPolisi" kana kwamba anamaslahi binafsi na Tuhuma zinazokukabili - haandiki kile unachosema bali anajaribu kukuwekea maneno mdomoni mwako. Ukikataa kusema anavotaka -anakuweka mahabusu ili muendelee kuhojiana kesho yake.
Tuhuma dhidi ya Utendaji wa Polisi ni nyingi lakini yote kwa yote wapo Polisi wengi sana ni wema, wasikivu n.k.n.k. - in fact tunawapenda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…