KIBURUDISHO
JF-Expert Member
- Mar 28, 2011
- 1,002
- 277
Ni tukio lililotokea leo mjini Mugumu wilayani Serengeti na kuthibitishwa na kamanda wa polisi mkoani Mara Absalom Mwakyoma.Askari hao ni Koplo David Delina mwenye namba E9172 kutoka ofisi ya upelelezi makosa ya jinai kutoka Biharamulo na mwenzake Gerlad Tuti mwenye namba F5553 kutoka ofisi ya upelelezi makosa ya jinai Bukoba na raia aitwaye Boniface Kurwa mwenyeji wa Geita.
Source:mdau wangu anayefanya kazi kituoni hapo.
Aisee hiri Kopro Delina ndio linamiliki Yale magari ya kifahari yalioandikwa DELINA kwenye number plates!? Kuuliza si ujinga wajameni.Ni tukio lililotokea leo mjini Mugumu wilayani Serengeti na kuthibitishwa na kamanda wa polisi mkoani Mara Absalom Mwakyoma.Askari hao ni Koplo David Delina mwenye namba E9172 kutoka ofisi ya upelelezi makosa ya jinai kutoka Biharamulo na mwenzake Gerlad Tuti mwenye namba F5553 kutoka ofisi ya upelelezi makosa ya jinai Bukoba na raia aitwaye Boniface Kurwa mwenyeji wa Geita.
Source:mdau wangu anayefanya kazi kituoni hapo.
Huenda ni utekelezaji wa ilani, "maisha bora kwa kila mtanzania"