Askari Polisi Watano, Mahabusu 8 wafariki kwa ajali ya gari Mlima Sekenke, Singida

Eti nini..??

Majina hayajafamika!!??🥺🥺

Kwani hawakutoka ofisi ya OCD Iramba au RPC Singida kiasi ambacho ofisi isijue majina ya askari wake na hao mahabusu waliokuwa wanawasafirisha?

This is ridiculous..!!
 
Tumempigia simu RPC singida,Majibu yake ndio hayo kuwa majina yao ,hayajafahamika!
 
Land Cruiser imeisha yote mazee!
Ajali isilie tuu, hapo tukio lote hilo hata sekunde 10 hazifiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…