Askari Polisi Watano, Mahabusu 8 wafariki kwa ajali ya gari Mlima Sekenke, Singida

Askari Polisi Watano, Mahabusu 8 wafariki kwa ajali ya gari Mlima Sekenke, Singida

.
 

Attachments

  • IMG-20260921-WA0024.jpg
    IMG-20260921-WA0024.jpg
    128.9 KB · Views: 10
Ajali ni nyingi sana aisee kuna jambo inatakiwa lifanyike kwa madereva kuongeza umakini na kukagua chombo kabla ya safari kwa jinsi hiyo gari iliyobeba askari pamoja na mahabausu kupona hapo ni ngumu sana.
RIP kwa makamanda na mahabusu wote..
Poleni wafiwa so pain kuona ndugu alie selo anafia huko huko..
Ila braza barabara nazo hali yake! Usikute kila mmoja alikuwa anawahi kukwepa shimo!
 
Sijui ni uzembe au la ila wao ndio waangalizi na walitakiwa kuwa extra cautious
 
Comment zimenisikitisha sana,matabaka mawili miongoni mwetu yana chuki ambayo inasababishwa na tabaka jingine kabisa💔
 
Watu wote wema waliofariki wapumzike kwa amani 🙏,na waovu watakutana na haki yao kama kiama kweli kipo.
 
Dereva wa roli siku nyingine avizie wakiwemo polisi tu ili nafsi zetu angalau zipone,Mungu tunashukuru kwa hao watano tukiongeza wawili wa mbeya na mmoja wa tabora si haba kwa mwezi huu,tugange mwezi ujao Tena🙏🙏🙏
 
Back
Top Bottom