LOTH HEMA
JF-Expert Member
- Dec 6, 2015
- 29,814
- 47,414
wake zao hawatakuwa na shida, wataendelea kupata shoo toka kwa njemba zingineKama walikua wameoa namba za wajane please
wake zao hawatakuwa na shida, wataendelea kupata shoo toka kwa njemba zingineKama walikua wameoa namba za wajane please
Kwenye hiyo safari askari hawakuwa na nia njema kwani ndio haohao wanabambikizia watu kesi za uongoAskari watano wamefariki papo
NA ASKARI WAPO PIA UMEWASAHAU?Mwenyezi Mungu awalaze mahabusu mahali pema peponi.
Kuna ajali zingine zinatokea kiasi kwamba huwezi kuelewa kwa upeo wa kawaida... Imagine hiyo gari ni kama imevuliwa nguo zote mwilini ikabaki uchiHilo gari gani mbona sijalielewa😀
Ni landcruiser hardtop pickup ya polisiHilo gari gani mbona sijalielewa😀
Ccm wanasemaga kifo ni kifo tu,haya ndio madhara yakeDaah nimesoma coment hadi nmeskitika bifu lilopo kati ya ASKARI NA RAIA.
pia kifo kinaonekana kitu cha kawaida kwa binadam.
Kapime machoHilo gari gani mbona sijalielewa😀
Sidhani. Mwamba kaweka na kaClip kwa msisitizo kwamba ni kweli iyo kitu imetokea.Ukweli tutajua baadae taarifa za ivi zengine Chai ❗️