Ngorunde
Platinum Member
- Nov 17, 2006
- 5,883
- 12,570
Ukishakufa is over!Tukutane siku ya ufufuo kila mtu kupokea mshahara wake!
Mishahara na marupurupu wanalipwa walio hai tu.
Ndio maana tunasema WAPUMZIKE KWA AMANI.
Hawajui tena lolote wala chochote.