Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 376,316
- 871,876
Askari watano wamefariki papoKifo Hiki Hakikimbiliki
Ingekuwa Vita Marehem Angekimbia
Askari watano wamefariki papoKifo Hiki Hakikimbiliki
Ingekuwa Vita Marehem Angekimbia
Mungu awalaze mahali wanakostahili hao polisiAskari watano wamefariki papo
Hahahaaaaa hao wengine wajijue wenyeweWapumzike kwa amani mahabusu, pole sana kwa familia zao.....
Kama walikua wameoa namba za wajane pleasemahabusu wapumzike kwa amani
Polisi wapumzike kwa mateso.
asee
Taarifa nilizopata ni kuwa, kuna ajali imetokea asubuhi ya leo, ikihusisha gari la Polisi na Semi, Mlima wa Sekenke uliopo Iramba, Singida.
Gari la Polisi lilikuwa limebeba Mahabusu na Askari Polisi, likitokea Shelui kwenda Kiomboi.
Askari watano wamefariki papo hapo na mahabusu kadhaa.
View attachment 3675029
DuuuuWapumzike kwa amani mahabusu, pole sana kwa familia zao.....
Police hamuwapi pole wakuu?Wapumzike kwa amani mahabusu, pole sana kwa familia zao.....
ni trend mpya imeingia hapa nchini,Police hamuwapi pole wakuu?
Na mafuta ya upako mengi mgongoni kwakooMakofe mengi kwa Yesoooooo
HakikaWapumzike kwa amani mahabusu, pole sana kwa familia zao.....