Hawatakiwai Kushindana na Serikali..
Gwajima yuko CCM....
MAMA MWENYEKITI WAKE... NDO RAIS.

aache jikweza. Angeweza tumia busara zaidi kuliko kuchamba kwa kutumia madhabahu. Hatafanikiwa.
 
Tupo Ktk nchi ambayo wajinga ndiyo wamepata nafasi ya kuwa viongozi Ktk Taifa ambalo linahitaji ukombozi WA pili baada ya wakoloni weupe mwaka 1961. Sasa tuna KAZI nzito ya kuondoa viongozi wajinga na kufanikisha Uhuru WA pili.... No reform no election...!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…