heartbeats
JF-Expert Member
- Feb 10, 2014
- 8,042
- 13,383
Watakufa ovyo sana we tulia utaonaWachawi wameanza kupita nao mmoja mmoja ndinga zao zinabiduka ile mbaya.
Tunawaona huku mtaani tunawaonea sana huruma aseeKazi ya upolisi kwa nchi zetu hizi zenye tawala za kiimla ni kazi ya ajabu na yenye laana chungu nzima.
Maana hili uifanye kwa waledi wanaoutaka waajiri wako ambao ni watawala, itabidi uwe na roho mbaya sana na uwe tayari kuua raia wasio na hatia kwa maslahi tu ya watawala na tena wakikulipa ujira kidogo sana, huku wao wakiogelea kwenye utajiri haramu uliokithiri.
Sasa kwa mantiki hiii, POLISI ni kazi ya laana na ndio maana wengi wao wakisha staafu wanakuwaga ni maskini sana.
Tunawaona huku mtaani tunawaonea sana huruma asee
Speed ni kali sanaWachawi wameanza kupita nao mmoja mmoja ndinga zao zinabiduka ile mbaya.