Askari yupi unaempa buku achukue? Anapatikana upande gani wa mji?Ni vile madereva wa hayo magari hawakuwa na ya chai .
Mbona siku hizi hao askari hadi buku wanachukua
Bucha na ubungo mataa wee panda dala dala ukiona trafic kanyoosha mkono mwangalie konda fasta anachukua kikaratasi anafinyia hapo buku anaenda fasta akirudi utasikia"twende zetu tayari"[emoji2][emoji2]Askari yupi unaempa buku achukue? Anapatikana upande gani wa mji?
kufurahia matatizo ya mwenzako ni dalili ya uchawi nduguNimekuta askari kakamata gari kama 6 hivi; school bus zimejipanga hapo.
Halaf nkamskia anawambia, "Magari yana madeni haya mpaka lak4. Nyie januari ilikua bila ada mtoto hakanyagi shule sasa mtakaa hapa hadi mlipe ndo bus linaondoka". Jino kwa jino
Nikacheka sana.
huyu atakua kondakta wa temeke,...hiyo buku ni posho ya kila sikuAskari yupi unaempa buku achukue? Anapatikana upande gani wa mji?
Umeamua kokomalia sio..we utakua ni wale wapenda kufuga ujinga.Umeamua kukomalia mzee..we utakua mkuda kwel aisee
Izi zote ni juhudi za awamu ya tano.Nimekuta askari kakamata gari kama 6 hivi; school bus zimejipanga hapo.
Halaf nikamskia anawambia, "Magari yana madeni haya mpaka lak4. Nyie januari ilikua bila ada mtoto hakanyagi shule sasa mtakaa hapa hadi mlipe ndo bus linaondoka". Jino kwa jino
Nikacheka sana.