Askari umenifurahisha sana leo aisee. Safi sana!

Askari umenifurahisha sana leo aisee. Safi sana!

Nimekuta askari kakamata gari kama 6 hivi; school bus zimejipanga hapo.

Halaf nkamskia anawambia, "Magari yana madeni haya mpaka lak4. Nyie januari ilikua bila ada mtoto hakanyagi shule sasa mtakaa hapa hadi mlipe ndo bus linaondoka". Jino kwa jino

Nikacheka sana.
kufurahia matatizo ya mwenzako ni dalili ya uchawi ndugu
 
Nimekuta askari kakamata gari kama 6 hivi; school bus zimejipanga hapo.

Halaf nikamskia anawambia, "Magari yana madeni haya mpaka lak4. Nyie januari ilikua bila ada mtoto hakanyagi shule sasa mtakaa hapa hadi mlipe ndo bus linaondoka". Jino kwa jino

Nikacheka sana.
Izi zote ni juhudi za awamu ya tano.
 
Sasa hivi serikali inamdai kila mdanganyika mpaka imefikia hatua wanaanzisha tozo za kusafirisha maiti aka marehemu
 
Back
Top Bottom