Askari wa barabarani kagueni gari, kumbukeni hata mshahara mnaolipwa unatoka kwa hao hao wananchi

Joined
Nov 28, 2023
Posts
9
Reaction score
7
Habari za wakati huu wakuu wangu, mimi nina kero yangu kuhusu hawa Askari wa usalama barabarani traffic kuchukua rushwa (kifurushi) badala ya kukagua gari.

Kwahiyo madereva wanashughulika na kuwa na hela ya kulipia kifurushi badala ya kutengeneza gari gari bovu.

 
La kwangu liacheni lipite.

Tutaonana JIONI
 
La kwangu liacheni lipite.

Tutaonana JIONI
Mbona madereva wengi wanajua wakiona traffic wanaanza kuandaa posh no discussion akifika tu anatupa chini ama anaweka kwenye kadi kisha anampa hata gari hasongelei utasikia anaambiwa tairi hii ubadilishe konda πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ haya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…