Askari wa barabarani wamuige askari wa Morocco kuongoza magari

Askari wa barabarani wamuige askari wa Morocco kuongoza magari

Si hapa Ubungo tuna kajamaa kanavaa kofia ya pikipiki (helmet) muda wote. Akikusimamisha we andaa buku 10 hivi hivi hauchomoki.
Pale Riverside upande kama unaelekea Flyover? Kashkaji kalitakaga kuniandikia faini ya 60,000 eti nimepiga U-turn kwenye ile junction ya kwenda Kibangu.

Siku nyingine wanasogeaga pale External.
 
Sijui umeandika nini!

Kazi ya traffic siyo kupunga mkono kuongoza magari!

Hii ishu ni dharula lakini huku kwetu eti ni ratiba kabisa trafiki offocer kupunga mikono magari!
Hii huonesha uprimitive tulionao!

Dunia iko kwenye automation lakini sisi kutwa tuko analog.

Ni matumizi mabaya ya askari ambao taifa limewekeza pesa na nguvu kusomesha! Halafu wanakuja kuota vibarango kwa kupigwa na jua wakati tungeweza set automation
Ndiyo maisha yetu usitupangie.
Sorry nimekumbuka sina Gari.
 
Hizo ni programm tu, ni jambo la kuongeza mda upande wa magari mengi!
Ishu ya kuprogram taa tu hiyo
Ni zaidi ya hivyo mkuu, program inaweza isizingatie hali.. yenyewe inaenda na protocal yako uliyoset.. Baadhi ya nchi za ulaya wanakuwa na control centre.. Ni matrafic lakini hawakai barabarani, wana-monitor barabara zote na hali zake za foleni kutoka kwenye kituo.. wanachagua wapi waruhusu nk
 
Sijui umeandika nini!

Kazi ya traffic siyo kupunga mkono kuongoza magari!

Hii ishu ni dharula lakini huku kwetu eti ni ratiba kabisa trafiki offocer kupunga mikono magari!
Hii huonesha uprimitive tulionao!

Dunia iko kwenye automation lakini sisi kutwa tuko analog.

Ni matumizi mabaya ya askari ambao taifa limewekeza pesa na nguvu kusomesha! Halafu wanakuja kuota vibarango kwa kupigwa na jua wakati tungeweza set automation
Wangejua namna hawa watu wanavyotuudhi sisi watumiaji wa barabara , fikiria serekali inaweka system ya taa wao wanaenda kuvuruga kwa utashi wa kibinadamu!! Aibu sana
 
Ni zaidi ya hivyo mkuu, program inaweza isizingatie hali.. yenyewe inaenda na protocal yako uliyoset.. Baadhi ya nchi za ulaya wanakuwa na control centre.. Ni matrafic lakini hawakai barabarani, wana-monitor barabara zote na hali zake za foleni kutoka kwenye kituo.. wanachagua wapi waruhusu nk
Nadhan wenzetu wameadvance zaidi huwa hawataki uvurugaji wa kibinadamu, wameweka sensor
 
Sijui umeandika nini!

Kazi ya traffic siyo kupunga mkono kuongoza magari!

Hii ishu ni dharula lakini huku kwetu eti ni ratiba kabisa trafiki offocer kupunga mikono magari!
Hii huonesha uprimitive tulionao!

Dunia iko kwenye automation lakini sisi kutwa tuko analog.

Ni matumizi mabaya ya askari ambao taifa limewekeza pesa na nguvu kusomesha! Halafu wanakuja kuota vibarango kwa kupigwa na jua wakati tungeweza set automation
Hivi wewe hujui tabia ya madereva wa bongo rush hours? Watajaa pale kwenye intersection kiasi kwamba wote wanakuwa hawapiti taa ziwe kijani ziwe nyekundu. Hizo habari za automation wala sio kitu cha ajabu ila inabidi watumiaji wa barabara wawe wastaarabu ambao Tz hatuna.
 
Waendesha maroli pale Tazara, anaona mbele haziendi na yeye anaenda kuweka semi kwenye taa
 
Asubuhi na jioni ni muda ambao magari huwa mengi na askari wa usalama barabarani(Traffic) hujitahidi kupunguza adha hii kwa kuzipa kipaumbele barabara ambazo zina msongamano mkubwa zaidi wa magari.

Kinachotokea, mathalan upo kwenye barabara yenye magari pungufu, askari huyo ukakuzuia na ukawa mbele karibu na taa unaweza kulazimika kusubiri dakika 20 Traffic awajaze kwanza foleni ndio awaruhusu kwa pamoja, ratio yake ya kuruhusu ikawa dakika 20 kwenye msongamano kwa dakika 5 kusipo na msongamano(20:5), ukiwa kwenye msongamano unaweza kupita haraka zaidi na barabara iliyo nyeupe ukalaani traffic mpaka laana zikaisha.

Askari huyu wa Morocco pia anatoa muda mwingi zaidi kwa barabara yenye msongamano(Mwenge-Mjini) lakini anavunja kwenye makundi zile dakika nyingi kutowaweka watu, mfano badala ya kuwa 20:5 inakuwa 5:1. Kila baada ya dakika 5, anaziondoa gari chache zilizo kwenye barabara isiyo na kipaumbele, trafffic wengine unaombea uwe kwenye barabara yenye msongamano ili upite haraka kuliko kugandishwa kwenye barabara zisizo na magari mengi, yani anaweza kuita magari ambayo hayaonekani kutoka barabara kubwa.
Trafic kitambi...
 
Nakumbukuka miaka ya nyuma baada ya maneno kama haya haya kuwa mengi, siku moja traffic hawakutokea barabarani siku hiyo, ilikuwa ni balaa.

What they do! Traffic wako barabara zote mjini, wanawasiliana changamoto za foleni zilizopo na ku-act accordingly, taa inaweza kuruhusu upande ambao hauna gari hata moja na kuendeleza foleni upande wenye foleni..
Taziko well calculated haziangalii kwa macho ya kibinadamu na zinafanya vizuri zaidi. a a
 
Back
Top Bottom