Askari wa barabarani wamuige askari wa Morocco kuongoza magari

Si hapa Ubungo tuna kajamaa kanavaa kofia ya pikipiki (helmet) muda wote. Akikusimamisha we andaa buku 10 hivi hivi hauchomoki.
Pale Riverside upande kama unaelekea Flyover? Kashkaji kalitakaga kuniandikia faini ya 60,000 eti nimepiga U-turn kwenye ile junction ya kwenda Kibangu.

Siku nyingine wanasogeaga pale External.
 
Ndiyo maisha yetu usitupangie.
Sorry nimekumbuka sina Gari.
 
Hizo ni programm tu, ni jambo la kuongeza mda upande wa magari mengi!
Ishu ya kuprogram taa tu hiyo
Ni zaidi ya hivyo mkuu, program inaweza isizingatie hali.. yenyewe inaenda na protocal yako uliyoset.. Baadhi ya nchi za ulaya wanakuwa na control centre.. Ni matrafic lakini hawakai barabarani, wana-monitor barabara zote na hali zake za foleni kutoka kwenye kituo.. wanachagua wapi waruhusu nk
 
Wangejua namna hawa watu wanavyotuudhi sisi watumiaji wa barabara , fikiria serekali inaweka system ya taa wao wanaenda kuvuruga kwa utashi wa kibinadamu!! Aibu sana
 
Nadhan wenzetu wameadvance zaidi huwa hawataki uvurugaji wa kibinadamu, wameweka sensor
 
Hivi wewe hujui tabia ya madereva wa bongo rush hours? Watajaa pale kwenye intersection kiasi kwamba wote wanakuwa hawapiti taa ziwe kijani ziwe nyekundu. Hizo habari za automation wala sio kitu cha ajabu ila inabidi watumiaji wa barabara wawe wastaarabu ambao Tz hatuna.
 
Waendesha maroli pale Tazara, anaona mbele haziendi na yeye anaenda kuweka semi kwenye taa
 
Trafic kitambi...
 
Taziko well calculated haziangalii kwa macho ya kibinadamu na zinafanya vizuri zaidi. a a
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…