Askari wa China wakamatwa mateka nchini Ukraine wakiwa sehemu ya wapiganaji wa Urusi

Askari wa China wakamatwa mateka nchini Ukraine wakiwa sehemu ya wapiganaji wa Urusi

Hamatan

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2020
Posts
7,840
Reaction score
18,115
Ukraine imefanikiwa kuwaua wapiganaji kutoka China wakiwa pamoja na askari wa Urusi nchini Ukraine. Askari wawili wachina walikamatwa mateka, na wapo kwenye gereza nchini Ukraine.

China daima imekuwa ikisisitiza kuwa haiisaidii Urusi kupigana na Ukraine kwa namna yoyote ile, lakini habari za uhakika ni kwamba China imekuwa ikiisaidia Urusi hasa kwenye vifaa vya electronics vinavyotumika kwenye silaha za Urusi.

Hii ya kuonekana wapiganaji kutoka China wakipigana bega kwa bega na majeshi ya Urusi, ni jambo jipya ambalo hakuna aliyekuwa amelifikiria. Kufuatia tukio hili, Serikali ya China imesema kuwa hao wachina watakuwa wamekuwa wakifanya hivyo kama watu binafsi.

=====================================​

Ukrainian forces have captured two Chinese nationals who were fighting for the Russian army in eastern Ukraine's Donetsk region, President Volodymyr Zelensky has said.

He said on Tuesday that intelligence suggested the number of Chinese soldiers in Russia's army was "much higher than two".

Ukrainian Foreign Minister Andrii Sybiha said Chinese troops fighting on Ukrainian territory "puts into question China's declared stance for peace" and added that their envoy in Kyiv was summoned for an explanation.

It is the first official allegation from Ukraine that China is supplying Russia with manpower. Russia declined to comment on Zelensky's revelation on Wednesday.

Ukraine's forces fought six Chinese soldiers and took two of them prisoner, he said.

The post was accompanied by a video showing one of the alleged Chinese captives in handcuffs, speaking Mandarin Chinese and apparently describing a recent battle.

"We have information suggesting that there are many more Chinese citizens in the occupier's units than just these two," he said.

On Tuesday, US State Department spokesperson Tammy Bruce called the reports "disturbing".

She added that China is a "major enabler" of Russia's war in Ukraine, citing its supply of dual-use goods such as navigation equipment, semiconductor chips and jet parts.

Ukraine's foreign minister said that he had summoned China's chargé d'affaires in Kyiv to "demand an explanation".

Writing on X, Andrii Sybiha said: "We strongly condemn Russia's involvement of Chinese citizens in its war of aggression against Ukraine, as well as their participation in combat against Ukrainian forces."

He added that the move "puts into question China's declared stance for peace" and undermines Beijing's credibility as a member of the UN Security Council.

Source: CNN, Aljazeera, BBC
 
Tuendelee kuwaombea Aman wenzetu ambao wako kwenye mahangaiko ya vita

God bless congo, Sudan, Russia, Ukraine, Palestine, Israel na wakristo wote wanaouwawa kila siku kama kuku na vikundi vya waislam hasa Nigeria, Burkina Faso na mali
 
Kwa nini tusimuombe azuie vita?
 
Vita ni Vita. Wakati wote Vita inapopiganwa mamluki hawawezi kukosekana bwana!!
 
Tuendelee kuwaombea Aman wenzetu ambao wako kwenye mahangaiko ya vita

God bless congo, Sudan, Russia, Ukraine, Palestine, Israel na wakristo wote wanaouwawa kila siku kama kuku na vikundi vya waislam hasa Nigeria, Burkina Faso na mali
Kuwaombea au kuwasaidia?
 
Back
Top Bottom