Askari wa FFU wakicheza kwa kukata mauno Landrover Festival hawana ubaya na mtu raia mwema
View: https://youtu.be/nJd2S1yiYpU?si=mir2izshdjgKhTnE
View: https://youtu.be/nJd2S1yiYpU?si=mir2izshdjgKhTnE
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aaah wapi no utulivuTanzania nchi ya amani
Hawa jamaa hata niwaone katika mazingira gani, siwezi kusahau ni makatili, wauaji, wananuka damu na wanyama wasio na utu wala ubinadamu hata kidogo. Wasikudanganye kwa kukata mauno kama binadamu, sio watu hawa!Askari wa FFU wakicheza kwa kukata mauno Landrover Festival hawana ubaya na mtu raia mwema
Mmmm. Kukatika tena? Wakili wangu yuko likizo ninyamazeTanzania nchi ya amani
Au na wao waende gaza?Mmmm. Kukatika tena? Wakili wangu yuko likizo ninyamaze
Askari wa FFU wakicheza kwa kukata mauno Landrover Festival hawana ubaya na mtu raia mwema
View: https://youtu.be/nJd2S1yiYpU?si=mir2izshdjgKhTnE
Watajichafua kwenye surualiAu na wao waende gaza?
Mbona waliwajambisha tu wale wa msumbiji na kibiti wakaufyata ,kuna ambae alichafua suruali au wale wa msumbiji ndo walichafuaWatajichafua kwenye suluari
Askari wa FFU wakicheza kwa kukata mauno Landrover Festival hawana ubaya na mtu raia mwema
View: https://youtu.be/nJd2S1yiYpU?si=mir2izshdjgKhTnE