- Thread starter
- #21
F kote lakini siyo kwenye kupiga mtu wasogelee uone cha mtema kuniYamkini huwezi amini hapo Kuna F za Kila aina. Wana Siri sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
F kote lakini siyo kwenye kupiga mtu wasogelee uone cha mtema kuniYamkini huwezi amini hapo Kuna F za Kila aina. Wana Siri sana.
Askari wa FFU wakicheza kwa kukata mauno Landrover Festival hawana ubaya na mtu raia mwema
View: https://youtu.be/nJd2S1yiYpU?si=mir2izshdjgKhTnE
Sio woteHawa jamaa hata niwaone katika mazingira gani, siwezi kusahau ni makatili, wauaji, wananuka damu na wanyama wasio na utu wala ubinadamu hata kidogo. Wasikudanganye kwa kukata mauno kama binadamu, sio watu hawa!