Askari wa FFU wakicheza kwa kukata mauno Landrover Festival hawana ubaya na mtu raia mwema

Kama unalo tingishaaaa.... kale ka nyama katamu kananipa hamuuu..... utamu unakuja halafu unakataa.... kaona paja kadata..... kama hulitaki sabufa kalitoee.... kale katoto kana hatariii.... kimbaumbau katoto shangingiii.... una akili weweeee.....
 
Chezeniila kikokotoo kinawahusu mkistaafu,milioni 50 ndio mafao yenu
 
Askari wa FFU wakicheza kwa kukata mauno Landrover Festival hawana ubaya na mtu raia mwema
Hawa jamaa hata niwaone katika mazingira gani, siwezi kusahau ni makatili, wauaji, wananuka damu na wanyama wasio na utu wala ubinadamu hata kidogo. Wasikudanganye kwa kukata mauno kama binadamu, sio watu hawa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…