Askari wa JWTZ Atuhumiwa Kwa Mauaji ya Mke Wake wa Ndoa Huku Akijaribu Yeye Mwenyewe Kujiua Bila Mafanikio

Siku ukikuta mkeo anat*mbw* juu ya kitanda chako, chumbani kwenu, nyumbani kwenu ndipo utajua hujui, unadhani ni rahisi kumuua mtu unaempenda, inatokea tu!

Bado haihalalalishi tukio alilolifanya jamaa.
 
vipi jamaa hukumchana?
 
Wanajeshi mapolisi...wanateswa sana na mapenzi
mimi nadhani hizi kazi za usalama wa nchi sifa no.1 iwe ni marufuku kuoa au kuolewa yani iwe kama taasisi ya kidini wale RC.

maana huwezi muajiri askari ukamkaba kwenye ratiba yake ya kazini halafu ukasahau ana mke/mume wa kumuhudumia.

ndio mana hawa watu mapenzi hayatoacha watesa kwasababu hakuna mwanamke yupo tyr kukaa mwezi/miezi hajagongwa angali mume anae (ila yupo kazini kikazi) lazima wajiongeze.
 
Bora nionekane sina 'Akili' na nisije Kuona kabisa kwani wengine tuna 'Mseto' wa 'Hasira' Kali za Kizanaki, Kimakuwa, Kitutsi na zile za Kiyahudi pia.
Kimakuwa? How mkuu! Unahusiana vipi na hao watu?
 
wakristo weken mfumo mzuri wa taraka kupunguza huu upuuzi,hamuon wenzenu waislam haya mambo hawana kabisa,hamjifunzi???
 
Tatizo la nguvu za kiume ni kubwa sana,sasa kuna watu huwa wanajidai eti kwa kuwa ni watu wa mazoezi kwa hiyo ni mabingwa wa hicho kitu.Sasa wanapojikuta pamoja na ubabe,mazoezi na kila sifa ya mwonekano wanayo lakini bado wanashindwa mambo ya ndani,ndipo wanakuwa na hasira kama hizo.
 
Chanzo cha tukio mbona kimeshawekwa wazi
 
The Only solution kama mmechokana kwenye mahusiano its better mkaagana na kila mmoja kuanza upya!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…