Consigliere
Platinum Member
- Sep 9, 2010
- 12,901
- 27,423
Hawa ni baadhi tu ya Askari wa JWTZ wakiwa kwenye foleni ya kupiga kura za mapema visiwani Zanzibar
CCM hawana aibuHawa ni baadhi tu ya Askari wa JWTZ wakiwa kwenye foleni ya kupiga kura za mapema visiwani Zanzibar
Wanamgambo wa KVZ hao vikosi vya SMZHawa ni baadhi tu ya Askari wa JWTZ wakiwa kwenye foleni ya kupiga kura za mapema visiwani ZanzibarView attachment 3495456
Umewaangalia vizuri?Wapya hao
Hio sio wamevalishwa kombati tu hao ni raiaHawa ni baadhi tu ya Askari wa JWTZ wakiwa kwenye foleni ya kupiga kura za mapema visiwani ZanzibarView attachment 3495456
Valantia wanavaa sawa na JW, halafu hoja iliyopo hapo angalia vizuri huyo aliyekuwa circles...huyo ni ChipukiziHao ni vikosi smz valantia ndo uniform zao za mwka huu hizo