polisi anayepiga, kuteka, kubaka, kutesa na kuua raia atamteteaje anayepigwa?Mwezi wa 12,2025 alikuja mama kituoni kulalamika aliyekuwa mume wake jinsi alivyokuwa akimpiga mara kwa mara na kumtishia kumuu. Badala ya kumpa msaada mkamjibu malalamiko yake ni kesi ya kifamilia wakamalizane wenyewe nyumbani ikambidi arudi nyumbani kweli, mlishindwa hata kumuelekeza kwenda dawati la jinsia au Ustawi wa Jamii?
Matokeo yake mama wa watu alienda kuongezewa kipigo hadi akavunjwa mbavu akaenda kufia Mloganzila akitapika damu na kazikwa tar 7,2026 hapo Msata baada ya hospitali kuzuia maiti kwa sababu ya deni.
Mwanaume ni mchaga hadi leo hajakamatwa na polisi mpo tu mnaimba jukumu lenu ni kulinda raia na mali, raia gani?, na hilo libaba sijui mchaga wa wapi mjinga linapiga wanawake linadhalilisha wanaume wenzie, mama Suzy wa watu kafa kikatili kaacha watoto wadogo watano.
NB: Siku ya kupigwa hadi kuvunjwa mbavu alikamatiwa njiani akiwa anatoroka na watoto.
Huyo mama Suzy atakuwa hakuwa na nidhamu, kwanini atorokeMwezi wa 12,2025 alikuja mama kituoni kulalamika aliyekuwa mume wake jinsi alivyokuwa akimpiga mara kwa mara na kumtishia kumuu. Badala ya kumpa msaada mkamjibu malalamiko yake ni kesi ya kifamilia wakamalizane wenyewe nyumbani ikambidi arudi nyumbani kweli, mlishindwa hata kumuelekeza kwenda dawati la jinsia au Ustawi wa Jamii?
Matokeo yake mama wa watu alienda kuongezewa kipigo hadi akavunjwa mbavu akaenda kufia Mloganzila akitapika damu na kazikwa tar 7,2026 hapo Msata baada ya hospitali kuzuia maiti kwa sababu ya deni.
Mwanaume ni mchaga hadi leo hajakamatwa na polisi mpo tu mnaimba jukumu lenu ni kulinda raia na mali, raia gani?, na hilo libaba sijui mchaga wa wapi mjinga linapiga wanawake linadhalilisha wanaume wenzie, mama Suzy wa watu kafa kikatili kaacha watoto wadogo watano.
NB: Siku ya kupigwa hadi kuvunjwa mbavu alikamatiwa njiani akiwa anatoroka na watoto.
Somesheni watoo wa kike wajeengeeni mazingira ya kuja kuishi maisha ya kuepuka utegemezi, umasikini ndo ulimrudisha hapo mkuu.Unapigwa/unanyanyaswa kwenye ndoa alafu unaenda polisi, hawakupi msaada wowote alafu unarudi nyumbani kuendelea kula kipigo, akili ya namna gani hii??? BTW apumzike kwa amani.
visungura?Huyo mama Suzy atakuwa hakuwa na nidhamu, kwanini atoroke
Kuiamini hii takataka inayo itwa jeshi la polisi ni afadhali umuamini kuku wako, hawa watu ni washenzi na hawana saada kwa raia na hasa jambo ambao wataona hawana maslahi nalo, ni miongoni mwa vyombo vinavyo haribu sana taswira ya nchi hii na wanalazimisha nchi iendeshwe kimafiaMwezi wa 12,2025 alikuja mama kituoni kulalamika aliyekuwa mume wake jinsi alivyokuwa akimpiga mara kwa mara na kumtishia kumuu. Badala ya kumpa msaada mkamjibu malalamiko yake ni kesi ya kifamilia wakamalizane wenyewe nyumbani ikambidi arudi nyumbani kweli, mlishindwa hata kumuelekeza kwenda dawati la jinsia au Ustawi wa Jamii?