Kati ya hao wenye rungu nani alivunja
Ndio maana magu aliwanyima tenda ya kujenga nyumba zao wenyewe akawapa jw maana hayana akili
Kwahiyo unadhani jw wana akili[emoji1787][emoji1787]Ndio maana magu aliwanyima tenda ya kujenga nyumba zao wenyewe akawapa jw maana hayana akili
Naona hao askari walimfuata huyo mama nyumbani kwake na kumpa kichapo heavy kweli askari wakorofi.
Wana stress hao na ndiyo maana wakistaafu wanachanganyikiwa maana wanaishia kupanga chumba madongo kuinama.