Askari ( traffic) wa kituo cha ukaguzi wa magari eneo la Mikumi hawakagui magari bali wanachokifanya ni kukusanya hela tu! Kila basi wakilisimamisha trafic anaenda moja kwa moja kwa dereva anachukua 5000 kisha anaruhusu gari kuondoka. "Bus" likikaribia tu konda anashika hela mkononi trafic anakuja anapewa hela yake na kuondoka bila woga. Au serikali iseme km imewaruhusu kufanya haya maana TAKUKURU ni km wamefumba macho.

Mama Jana Kamwambia Wazi IGP Mpya Hafurahishwi Na Police Huko Njiani Ni Kama Hawana MafunzoAskari (traffic) wa kituo cha ukaguzi wa magari eneo la Mikumi hawakagui magari bali wanachokifanya ni kukusanya hela tu! Kila basi wakilisimamisha trafic anaenda moja kwa moja kwa dereva anachukua 5000 kisha anaruhusu gari kuondoka.
"Bus" likikaribia tu konda anashika hela mkononi trafic anakuja anapewa hela yake na kuondoka bila woga. Au serikali iseme km imewaruhusu kufanya haya maana TAKUKURU ni km wamefumba macho.
HaaWale ni kama kikoba yaani ni kama wamesajiliwa kisheria wanakera sana.