Jogi mkuu,
Ukweli utabaki kuwa ukweli. Kutofautiana na Pres Kagame haina maana tumpuuzie au kupindisha yale mema na mazuri anayoyatenda kwa nchi yake na wana-nchi wake. Amefanikiwa katika mambo mengi sana na watu wa Rwanda wanamkubali kwa hilo. We can debate on his methods but the truth of the matter is the guy gets things done in an efficient and effective manner. Watu wa Rwanda wana discipline sasa hivi kwa sababu ya uongozi thabiti wa Baba Kagame. Wengi wanaompinga Kagame either ni wa-Hutu wenye mrengo mkali wanaotawaliwa na ukabila na chuki za visasi e.g. terrorist Victoire Ingabire, Ngeze etc au wa-Tutsi malimbukeni na wenye tamaa ya madaraka wanaomuonea donge Pres Kagame na mafanikio aliyoyaleta katika kipindi kifupi cha utawala wake. Hii inajumuisha na viongozi wasio na shukrani akiwamo Gen. Nyamwasa na wengineo ndani ya Rwanda.