Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Ni kweli Kagame mkorofi ila ana akili.Hawezi kufanya misheni isiyo na maslahi yoyote kwake.Hizi stori za kijiweni tu!
Yule anayeuwa watu na mabomu makanisani, kwenye mikutano ya vyama vya siasa; kung!oa watu macho na kucha bila ganzi; kumwagia watu tindikali -anatofauti gani na PK?Anafunga wapinzania wake vifungo virefu gerezani, juzi kamfunga yule mama wa kihutu. hana ushupavu bari anatumia jeshi lake kuua na kufunga wananchi wenye mtzamo tofauti.
Yule anayeuwa watu na mabomu makanisani, kwenye mikutano ya vyama vya siasa; kung!oa watu macho na kucha bila ganzi; kumwagia watu tindikali -anatofauti gani na PK?
Hakuna haja ya kupeleka mashine mpya, zile zile za zamani zinatosha kumchomoa PK, kwani zitakaa mwisho zitaharibikaHaya sasa,kama ni kweli tukazijaribu fighter/interceptor zetu mpya!Lakini nadhani habari hii si kweli,PK hawezi jaribu kwani kwake itakua ni suicide attempt.
Mbona yule aliyetawala TZ kuanzia sijui 1960 huko mpaka 1984 naye alikuwa kama PK au umesahau. Nani alidiriki kusimama jukwaani na kumkandia? Waliojaribu si waliishia lupango? Kuna haja gani ya kujifanya unaruhusu mtu akukandie jukwaani mchana , lakini usiku unamfuata kumtoboa macho na kumtoa kucha bila ganzi?Nadhani unafananisha usingizi na kifo, rwanda huwezi simama jukwaani ukataja mapungufu ya Kagame halafu ukaendelea kuishi mtaa, ukisamehewa maisha yakeo yote ni gerezani. Jiulize kwa nini wapinzani wengi wa PK shughuli zao wanazifanyia nje ya nchi kama ANC wakati wa makaburu.
Sasa sisi mema ya rwanda yanatuhusu nini?Jogi mkuu,
Ukweli utabaki kuwa ukweli. Kutofautiana na Pres Kagame haina maana tumpuuzie au kupindisha yale mema na mazuri anayoyatenda kwa nchi yake na wana-nchi wake. Amefanikiwa katika mambo mengi sana na watu wa Rwanda wanamkubali kwa hilo. We can debate on his methods but the truth of the matter is the guy gets things done in an efficient and effective manner. Watu wa Rwanda wana discipline sasa hivi kwa sababu ya uongozi thabiti wa Baba Kagame. Wengi wanaompinga Kagame either ni wa-Hutu wenye mrengo mkali wanaotawaliwa na ukabila na chuki za visasi e.g. terrorist Victoire Ingabire, Ngeze etc au wa-Tutsi malimbukeni na wenye tamaa ya madaraka wanaomuonea donge Pres Kagame na mafanikio aliyoyaleta katika kipindi kifupi cha utawala wake. Hii inajumuisha na viongozi wasio na shukrani akiwamo Gen. Nyamwasa na wengineo ndani ya Rwanda.
Mleta mada anataka kuwaondoa watu kwenye mada za Zitto anavyofunika.mleta mada umeitoa wapi hyo.?
Mbona yule aliyetawala TZ kuanzia sijui 1960 huko mpaka 1984 naye alikuwa kama PK au umesahau. Nani alidiriki kusimama jukwaani na kumkandia? Waliojaribu si waliishia lupango? Kuna haja gani ya kujifanya unaruhusu mtu akukandie jukwaani mchana , lakini usiku unamfuata kumtoboa macho na kumtoa kucha bila ganzi?
Sasa sisi mema ya rwanda yanatuhusu nini?
Wewe nadhani ni mnyarwanda ndio maana ubaandika huu upuuzi,
Siku Amiri jeshi mkuu akitangaza vita mimi nitarudi jeshini na nitapigana mstari wa mbele kuwamaliza hao mbu
Ungesema kututoa kwenye mada ya kudhibiti madawa ya kulevya ningestuka.Mleta mada anataka kuwaondoa watu kwenye mada za Zitto anavyofunika.
Jogi mkuu,
Ukweli utabaki kuwa ukweli. Kutofautiana na Pres Kagame haina maana tumpuuzie au kupindisha yale mema na mazuri anayoyatenda kwa nchi yake na wana-nchi wake. Amefanikiwa katika mambo mengi sana na watu wa Rwanda wanamkubali kwa hilo. We can debate on his methods but the truth of the matter is the guy gets things done in an efficient and effective manner. Watu wa Rwanda wana discipline sasa hivi kwa sababu ya uongozi thabiti wa Baba Kagame. Wengi wanaompinga Kagame either ni wa-Hutu wenye mrengo mkali wanaotawaliwa na ukabila na chuki za visasi e.g. terrorist Victoire Ingabire, Ngeze etc au wa-Tutsi malimbukeni na wenye tamaa ya madaraka wanaomuonea donge Pres Kagame na mafanikio aliyoyaleta katika kipindi kifupi cha utawala wake. Hii inajumuisha na viongozi wasio na shukrani akiwamo Gen. Nyamwasa na wengineo ndani ya Rwanda.
Demekrasia Rwanda ....!hii itakua sababu nzuri ya Tanzania kumtoa madarakani huyu dikteta anakandamiza demokrasia nchini rwanda. naomba waendelee kuchokoza huko mpakani