Askari wa Rwanda wafanya Shambulizi Mpakani

Noted.....
 
Sasa sisi mema ya rwanda yanatuhusu nini?

Wewe nadhani ni mnyarwanda ndio maana ubaandika huu upuuzi,

Siku Amiri jeshi mkuu akitangaza vita mimi nitarudi jeshini na nitapigana mstari wa mbele kuwamaliza hao mbu


Mla rambi rambi za mwangosi hata wewe hayakuhusu
 
Sasa sisi mema ya rwanda yanatuhusu nini?

Wewe nadhani ni mnyarwanda ndio maana ubaandika huu upuuzi,

Siku Amiri jeshi mkuu akitangaza vita mimi nitarudi jeshini na nitapigana mstari wa mbele kuwamaliza hao mbu

We vita huwezi endelea kubeba box na kula rambirambi za watu.ungekua mzalendo au una uchungu na nchi yako usingeacha upolisi ukakubali kwenda kuishi ulaya aliko "olewa dada ako".
 

well articulated !!!
 
kilichopo ni kuwa ktk ile operation kimbunga ya kuwatoa wahamiaji haramu inasadikika kuna zaidi ya watu 2000 katika kundi hilo hususani wale wafugaji wamerudi kutafuta malisho ya mifugo yao na chakula kwa ujumla.

lakini namna walivyorudi ndo kidogo inatia shaka.

inasemekana wamekuja wamejihami kwa silaha za kijadi vikiwemo panga, mishale,rungu na mikuki huku wakiwatishia baadhi ya wakazi wa kijiji kimoja kilichoko mpakani kuwa atakae thubutu kusema basi ama zake au zao.

kwa taarifa rasmi kutoka baadhi ya vyombo vya habari inasemekana vyombo husika vya kiusalama vilifanikiwa kuwarudisha wote huko makwao.

Pia kumetolewa angalisho kwa baadhi ya viongozi wa vijiji na serikali ktk maeneo husika kutofanya mchezo mchafu wa kupokea rushwa kutoka kwa wahamiaji hao ili kuwahalalishia makazi wahamiaji hao haramu ambapo kimsingi wengi wao ni wafugaji.

mi nafikiri ni suala hili na si mashambulizi kutoka kwa wanajeshi otherwise tense situation has exploded in a couple of few minutes past.

na kama sikukosea eneo lililovamiwa na watu hao lipo kati ya wilaya ya ngara au karagwe kitu kama hicho.
 
kagame vs jk =mount everest vs wazo hill kagame ni jembe sio kilaza jk
 
kagame vs jk =mount everest vs wazo hill kagame ni jembe sio kilaza jk
Umeandika vizuri ila sentensi yako ulitakiwa umalizie kwa kuandika neno
"kwa mtizamo wangu" Sababu mi binafsi kwa mtizamo wangu namwona Raisi Kikwete ni Jembe kwa kuweza kuwatimua wahamiaji haramu na M23 namwona kwa mtizamo wangu ni Jembe hasa hawezi linganishwa na Kagame mfuga M23.
 

the guy is tough aisee
 
Kuna tetesi zimezagaa hapa Mwanza kuwa Askari wa Rwanda wamefanya shambulizi la kijeshi mpakani na Tanzania. Jee kuna ukweli wowote juu ya hili? Wenye vyanzo vizuri vya habari wafuatilie na kutujuza juu ya jambo hili hatari.

Chakaza. Mwanza n karibu na rwanda i mean boarder ya tz na rwanda(ngara.karagwe) huna ndugu anayeishi maeneo hayo akupe taarifa sahihi?
Mkuu wa wilaya ngara mr Bingwa huna namba zake? Namba za colonel massawe huna?
Usiwatie watu hofu na siku kuu hizi.
 
Last edited by a moderator:



Nadharia ya Ki-Tutsi.
Wee!!!! Umetumwa?
Kama ni Baba basi ni Baba yako wewe mwenye njaa kali.
Kama ni maendeleo na nidhamu Rwanda, basi vilikuwapo tangu Enzi za Gregoire Kayibanda.

Eti unamwita huyu Mama Ingabire terrorist, huna haya wala hujui vibaya, mtwana usokuwa na soni, mbona huyo Baba yako Paul Kagame amemuua mkubwa wake kijeshi Gen. Fredy Rwigema (mtutsi mwenzie-the military architecture/planner) kwa hofu na tamaa ya madaraka.

Watwana msokuwa na shukurani nyie,Tanzania imewalea na kuwakuza, nenda mwana kwenda na wala hatutaki fadhila zenu kwanza mpo wengi mliojifanya kondoo kwetu!!!kumbe wanafiki.
 
Kuna tetesi zimezagaa hapa Mwanza kuwa Askari wa Rwanda wamefanya shambulizi la kijeshi mpakani na Tanzania. Jee kuna ukweli wowote juu ya hili? Wenye vyanzo vizuri vya habari wafuatilie na kutujuza juu ya jambo hili hatari.

ningefurahi sana, kwani ungekuwa muda muafaka wa kutumia vizuri kodi za watanzania wenzangu zilizonisomesha kumwondosha mdhalimu kagame.
 
kweli kagame ni tough kwa viwango vya kitusi, kagame aliondoshwa kama mbwa mwizi GOMA na kuishilia akilia na kuomba huruma ya UN eti FARDC imeishambulia RWANDA

Kagame na kagenge chake cha wahuni historia itakuwa haijawatendea haki iwapo damu waliyomwaga Rwanda na Congo haitawarudia vichwani mwao...!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…