Askari wa Rwanda wafanya Shambulizi Mpakani

Mkuu hebu soma post namba 47 jamaa ametoajibu ya tetesi hizo ambazo awali nilisema zimezagaa Mwanza na mwenye taarifa nzuri atujuze.
 
Sasa sisi mema ya rwanda yanatuhusu nini?

Wewe nadhani ni mnyarwanda ndio maana ubaandika huu upuuzi,

Siku Amiri jeshi mkuu akitangaza vita mimi nitarudi jeshini na nitapigana mstari wa mbele kuwamaliza hao mbu
Krapp.......
 
Habari za vijiweni bwana,, mbona sijasikia kitu kama hicho.
 

Zinj ndugu yangu naona umeamua kufunguka kwa jazba sana. Anyway, emotions aside; the fact of the matter remains that Pres Kagame has brought stability and discipline to Rwanda. Don't be fazed by those rumors about the late Gen.Fred R. There is not an inkling of truth. It is another fabrication by genocidaires.Victoire is a terrorist. Wewe humjui na hujui alichojaribu kufanya. Tuulize tunaojua tukufahamishe kijana.By the way, I am Tanzanian. Ila siwezi tetea uongo na fitna kwa kiongozi mahiri Pres Kagame. Sina njaa wala faida ya aina yeyote kutoka Rwanda au kwa Pres Kagame. Jaribu kuchambua mambo bila kuweka hisia mkuu.
 

kwenda zenu! to you people all Hutu are genocidaires. Uonevu anaofanyiwa ingabire kuwa ni ule ule wa aung san suu kyi! Na kama wewe ni mtanzania basi ni wale watanzania passipoti wenye mizizi Rwanda, kama Lwakabamba, kaberuka na wengineo. Hakuna Mtanzania halisi mwenye mawazo kama yako.
 

jMali kiongozi wangu sikuwa nafahamu ya kuwa u-Tanzania wangu unapimwa kwa kiasi gani nitetee uongo? Wapi kwenye katiba ya Tanzania inasema mwananchi lazima awe pro-genocidaire au awe anti-Kagame ili kudhihirisha uraia wake? Naomba nitofautiane na wewe kwenye hili mkuu. Suala la Rwanda ni zaidi ya Hutu vs Tutsi vs Twa. Wapinzani wa Pres Kagame wapo wa-Hutu, wa-Tutsi pia. It's more complex than what genocidaires want us to believe. There are people within the RPF who do not like Pres Kagame tena sio mmoja au wawili. Hawa wanatawaliwa na ambitions zao za kutaka kutwaa madaraka. Pia inawauma (and to some extent rightly so) ya kuwa inaonekana Pres Kagame ana nguvu sana kwa hiyo anawafunika wenzi wake waliopigana nae kuikomboa Rwanda. In other words they allege that Pres Kagame has aggrandized power and runs a one-man show, in the process alienating his RPF cadres. Narudia tena Victoire Ingabire ni mtu hatari sana asiyeitakia mema nchi ya Rwanda. Ni mhaini aliyetaka kuirudisha Rwanda kwenye mauaji ya halaiki. Adui mwingine ni Gen. Nyamwasa aliyetaka kupindua serikali halali ya ki-demokrasia ya Rais Kagame. Wapo wengine who wish to derail the process of reconciliation and sabotage the road to prosperity for all Rwandese spearheaded by Pres Kagame. Watashindwa because he is staying the course.
 
Your are spewing typical Tutsi propaganda. Katika zama hizi hakuna kitu cha kuficha, taja waziwazi huo ugaidi wa ingabire hadharani, usiwe kama CDM-chumbani, kujidai kuna mengi hatuyajui lakini hautaki kuweka hadharani. Ninaweka speech iliyomfunga Ingabire hapo chini, kama wewe una nyingine zaidi ya hii tafadhali iweke, kama kuna mahala tafsiri imekosewa wewe isahihishe (maana originaly ilikuwa ni Kinyarwanda). Kama hakuna (na naamini hakuna), basi tuambie which part of this speech inamfanya Ingabire kufungwa miaka yote hiyo? Lets not forget your president threatened to "hit" my country/president over a mere suggestion of PEACEFUL talks! Now the coward is terrorizing this poor woman over THIS?
Source: THE AFRICA WATCH: Rwanda: Victoire Ingabire's Speech and Quotes
 

Kiongozi jMali hakuna Tutsi propaganda hapa. Nimesoma hizo quotes na naomba nikwambie kuwa sizo zilizomfunga Mrs Victoire Ingabire. Alishitakiwa kwa makosa ya kushirikiana na waasi wa FDLR (ambayo inaundwa na ex-FAR na interahamwe militia) kwa lengo la kuunda genge dhalimu jipya kwa jina la CDF. Nia ya CDF ni kuipindua serikali halali ya Rwanda. Shitaka lingine ni kufanya mzaha na mauaji ya halaiki ya 1994 yaliyopelekea mamia ya maelfu ya wa-Tutsi na wa-Hutu kuuawa kikatili bila hatia. Victoire is a genocide-denier. Vile vile huyu mama ni mhamasishaji wa mipasuko kwa mistari ya kikabila. Hata ukisoma hizo speech ulizoweka kwenye link, utaona ya kuwa Victoire ana donge kubwa sana limemkaba kwa hisia za wa-Hutu kuonewa. Ukisoma vizuri utaona kuwa ana kisasi na chuki sana dhidi ya wa-Tutsi. FDU Inkingi ni chama cha wa-Hutu wenye msimamo mkali. Huwezi kuwa mwanachama wa FDU kama si m-Hutu extremist. Hata wa-Hutu wenye mrengo wa kati au wasioendekeza siasa za chuki hawakubaliwi kujiunga kirahisi. Last but least, naomba uiache Chadema nje ya mada hii. Hakuna shabaha kati ya tunachojadili na CDM. Kwanza mimi ni independent, sina uanachama wa chama chochote. Maslahi yangu ni ya nchi yangu ya Tanzania na muda si mrefu Tanganyika. Kuna watu CCM, CDM, CUF nawakubali kwa hoja zao za msingi zenye uchungu na taifa. Lakini hii sio mahala yake.
 
hawa si ndo wale wanapata habari za kwenye migahawa lini kagame akawa kiongozi makini wakati ameua wahutu zaidi ya milioni moja
 

Kagame ni jambazi, na siku zote atakuwa ni jambazi. Mali zinazopatikana kwa wizi na dhuruma hazidumu. Rwanda inaweza kuporomoka kwa muda mfupi sana. Bado anaendeleza ukabila, anawaua wasomi ambao ni wahutu na kuwapoteza gerezani, Kama atajaribu kutuchokoza tutamfuata kigali faster
 

ha ha ha. Genocide denier, hutu extremist, revisionist, genocide blah blah....typical tutsi rhetoric, "majina ya kumpa mbwa ili auwawe". Hao unaosema kuwa ni extremist hutus FDU mbona wanashirikiana na watutsi chini ya RNC, when did Rudasingwa turn hutu extremist? mimi nadhani mjadala huu hautufai hapa, kwa sababu obviously wewe ni operative wa RPF, unalipwa wakati mimi silipwi. So hakuna haja ya mimi kupoteza muda kujadili na wewe online wakati we all know the truth. Although i must say you are a bit calmer than other operatives.
1. Nini maana ya waasi? Ni lini FDLR walikuwa "waasi"? FDLR inatengenezwa na askari wa iliyokuwa serikali halali ya habyarimana, kama kuna waasi Rwanda ni serikali nzima ya RPF! wao ndio waliopindua serikali halali na infact walikuwa wanapambana nayo kinyume cha sheria kutokea Uganda toka miaka ya 90 (kabla hujadai kuwa lengo pekee lilikuwa kustopisha genocide 94). Na hii ndio maana any rational person kama Kikwete hawezi kumeza propaganda zenu za kuharamisha FDLR kuwa ni simply "waasi" tu, kama walivyokuwa RPA back then. FDLR ndio jeshi halali la majority nchini Rwanda. Serikali yenu karibu yote ina passport za uganda!
2. The so called Genocide against tutsis is controvesial. Nchi ilikuwa katika vita waasi wa kitutsi RPA walikuwa wanashambulia nchi kwa muda wa miaka 4, walikuwa wanauwa nani kama sio wahutu? kwa nini mauaji ya wanyarwanda wote yaitwe mauaji ya kimbari dhidi ya watutsi pekee? Ingabire anahoji swali rational ambalo kila mtu mwenye akili timamu anahoji. Inakuwaje leo mnaimba 'one Rwanda' lakini at the same time 'genocide against tutsis'? sensa zote huru zinaonyesha kuwa actually wahutu ndio waliokufa wengi kuliko watutsi.
 

Ha ha ha mimi silipwi mkuu. Eti operative wa RPF, si kweli. Anyway, if you go back to my earlier posts you will see that I have made it very clear that the situation in Rwanda is bigger than Hutu vs Tutsi tribalism. There are a number of prominent Tutsis who do not like Pres Kagame, even within the RPF and RDF. So it is not surprising that Mrs Victoire Ingabire can find collaborators who are not extremist Hutus. They are bound together by a common "enemy". There were many Jews who collaborated with Nazis. FDLR are terrorists, period. The RPF had to fight their way back home after Habyarimana and his henchmen block their right to return home. It is inhuman to deny a people the right to return to their homeland. Hizo sensa zinazoonyesha more Hutus died ziko wapi? The whole world knows that close to a million Tutsis and moderate Hutus were massacred. Somehow hutu extremist propagandists want us to believe otherwise. By the way, RDF sio jeshi letu kwani mimi si mnya-Rwanda bali m-Tanzania halali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…