Askari wa Tanzania wanalea vitambi

Askari wa Tanzania wanalea vitambi

iranna

Senior Member
Joined
Aug 4, 2021
Posts
149
Reaction score
621
1628238736163.jpeg

Mafuta ya ziada yanayozunguka maeneo ya kiunoni mpaka tumboni ni hatari kwa afya, haya mafuta husambaa mpaka kwenye kuta za moyo na kuleta madhara kwenye mishipa inayosafirisha damu kwenye moyo.

Kimaadili askari hupewa masaa nane kwa wiki kwaajili ya mazoezi ya viungo. Hata ukitembea tu kwa lisaa limoja kwa siku, unaunguza kiasi kikubwa cha mafuta mwilini.

Huyu Askari hapo pichani yuko kwenye kazi asiyostahili.
 
Back
Top Bottom