Askari wa Ukraine: Bakhmut ni kama Jehanamu

Mm sifurahii kitendo cha Mrusi kushambulia maeneo ya makazi ya Raia kwa kutumia Thermobaric bombs. Hayo makombora (thermobaric missiles) huwa yanaangamiza/yanateketeza kila kitu sio raia,sio askari, sio miundombinu - ni kila kitu.
Russia halengi raia, labda kwa bahati mbaya, ukraine ndo wanashambuli donestic kwa mizinga na kuua raia
 
Mm sifurahii kitendo cha Mrusi kushambulia maeneo ya makazi ya Raia kwa kutumia Thermobaric bombs. Hayo makombora (thermobaric missiles) huwa yanaangamiza/yanateketeza kila kitu sio raia,sio askari, sio miundombinu - ni kila kitu.
Ni kweli kabisa Thermobaric bombs iliwai kupigwa shuleni kwetu nililia saana
 
Ukraine ni ka nchi kadogo mara 20 kwa urusi lakini mziki wake sasa!
Shukuru sana NATO brother, BILA NATO Ukraine ingeenda YOTE, Binadamu wanapaswa kuwa na Shukrani, Elon musk anasaidia internet NATO wanasaidia Intelligence SATELLITES SILAHa
Kumbuka MAREKANI ndio anaetoa maelekezo namna ya kumpiga ADUI kwa maana ana intelligence kubwa ya kujua movement ya ADUI anaona maghala ya silaha ,,,,,,, japo wewe si M Ukraine ila wa UKRAINE wana washukuru sana NATO na watu binafsi waliojitolea kina ELON MUSK
 
Hicho anachofanya Marekani na raia wake Ellon Musk ndio kushiriki vita moja kwa moja. Ingekuwa ni sisi nchi maskini tukasaidia mwenzetu basi ingekuwa habari kubwa.
 
Hayo mapendekezo ya China kusitisha vita yote ni mambo yasiyotekelezeka na hilo wanalijua. Lakini wao walikusudia zaidi kile kipengele cha kusafirisha nafaka bila vikwazo.Kila mmoja katika hii vita anaangalia wapi pa kuingiza maslahi yake.
Yule wa Uturuki yeye ameruhusu nafaka za Ukraine zishukie nchini mwake kabla kwenda nje na gesi ya Urusi nayo kaijengea bandari kubwa ili nchi za Ulaya zichukulie hapo kukwepa vikwazo vya Marekani,
Kama si ujanja wa maslahi huo ni nini tena,Wa Ulaya nao wanachotaka wasinunue kutoka Urusi tu lakini gesi hiyo hiyo wakinunua kutoka Uturuki ni safi sana,
 
ICC ni Kwa ajili ya nchi ndogo ndogo,hawana uwezo wa kudeal na hizi giant countries!
Mfano uhalifu wa Bush huko Iraq na Afghan,ICC waliufyata!
Hiyo picha hapo chini ni POW wa Afghan waliokuwa mahabusu!
Hakuna aliyekuwa accountable!
 
Kuwa askari w wagner na hiyo nini utachagua.
 
Kuwa askari w wagner na hiyo nini utachagua.
Bora nikafie Frontline lakini sio hayo!US sio watu wazuri kama watu wanavyowadhania,baada ya uhalifu wote huo na mwingine mwingi,ICC walipojaribu kuchunguza,hiki hapa chini ndio kiliwakuta;
The Trump administration has sought to weaken or abandon various international agencies since 2016. Now it’s taking aim at the International Criminal Court, a global tribunal that investigates and prosecutes war crimes, torture and genocide.

Claiming the ICC’s investigation into alleged war crimes by U.S. forces in Afghanistan poses a national security threat, President Donald Trump issued an executive order on June 11 effectively criminalizing anyone who works at the ICC. Its lawyers, judges, human rights researchers and staff could now have their U.S. bank accounts frozen, U.S. visas revoked and travel to the U.S. denied.

On Sept. 2, Sec. State Mike Pompeo announced the new sanctions would be applied for the first time, against ICC special prosecutor Fatou Bensouda and her top aide.

The executive order does not target U.S. citizens. But Americans can be sanctioned if they “materially support” the ICC by, say, filing an amicus brief to support a case. Such language usually applies to foreign terrorist organizations and their enablers – not human rights lawyers.

The retired Gen. Wesley Clark called Trump’s order a “tragic mistake” in foreign policy. He says the U.S. “has nothing to fear from the ICC,” which exists to deter and punish the kinds of atrocities committed by Germany and Japan during World War II.

I am an international human rights lawyer who has defended and advocated for victims of gross human rights violations in American courts and at the United Nations. For these people, the ICC is the only real means to hold their persecutors accountable, even if few of them will ever set foot in the court.
 
Wafadhili wakubwa wa ICC ndio hizo hizo nchi za magharibi, hivyo mahakama haina ubavu wa kuukata mkono unaowalisha.
 
Wafadhili wakubwa wa ICC ndio hizo hizo nchi za magharibi, hivyo mahakama haina ubavu wa kuukata mkono unaowalisha.
Ona mpaka wanatishia kufreeze account za wanasheria na majaji watakaojihusisha kuchunguza war crimes za us troops in Afghanistan!Eti Kwa majaji na wanasheria watakaojihusisha watakuwa "criminals"!
Sasa hapo Kuna haki?Hiyo mahakama tumeundiwa sisi waafrica tu na nchi nyingine ndogo ndogo!
 
Ni drone 4 zilizoangukia pasipo na madhara, 6 zimetunguliwa, hapo ni karibu na Moscow. Hazikuleta madhara. Huko kharkive zimeanguka drone 6 bila kuleta madhara. Pia matukio yametokea Climea na hakuna madhara.
 
Suala si kukusanya ushahidi, suala ni nani atakayethubutu kuwachukulia hatua?!
 
Mimi ni muumini wa haki.
Tatizo duniani hakuna haki.
Inasikitisha kwa kweli...

Marekani ndiye kiranja wa dunia lakini hatendi haki bali kufanya dhulma na ulaghai.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…