Dr Rutagwerera Sr
JF-Expert Member
- Dec 21, 2011
- 5,809
- 11,462
Nakumbuka sana hizi picha 2002-2003 nikitazama CNN zilikua zinanichefua sana na kunikosesha raha moyoni.ICC ni Kwa ajili ya nchi ndogo ndogo,hawana uwezo wa kudeal na hizi giant countries!
Mfano uhalifu wa Bush huko Iraq na Afghan,ICC waliufyata!
Hiyo picha hapo chini ni POW wa Afghan waliokuwa mahabusu!
Hakuna aliyekuwa accountable!
View attachment 2533630
Sipendi mambo yanayotweza utu wa mtu kwa dhulma.