Askari wa Ukraine: Bakhmut ni kama Jehanamu

Nakumbuka sana hizi picha 2002-2003 nikitazama CNN zilikua zinanichefua sana na kunikosesha raha moyoni.

Sipendi mambo yanayotweza utu wa mtu kwa dhulma.
 
Nakubaliana na wewe.
Kweli Urusi inaweza kushitakiwa ICC.
Lakini nakuhakikishia ikitokea hivyo ujue Marekani haitabaki huru juu ya uhalifu wa kivita ilioufanya Iraq,Syria,Libya,afghan,na kwingineko.
Bila Marekani kushitakiwa Zelensky atasubiri sana.
 
Ukraine sio mwanachama wa NATO.
Ni kweli lakini NATO na wasio NATO wanachangishana silaha na vikwazo kumdhibiti Urusi peke yake.
Hata Kosovo haikua NATO lakini NATO walienda kuisaidia.
Hata Libya sio NATO lkn NATO walienda kuwasaisia walibya.
 
Wafadhili wakubwa wa ICC ndio hizo hizo nchi za magharibi, hivyo mahakama haina ubavu wa kuukata mkono unaowalisha.
Na kwa sababu hiyo ndio maana Urusi hatakubali kushitakiwa katika mahakama hiyo.
Kesi ya tumbili hakimu nyani.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ™ Kwa hapa tumbili ndio Ukraine,ndio mlalamikaji.
Mshitakiwa Simba ndio Urusi.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜ƒπŸ‘πŸ‘πŸ‘
 
Nashindwa kuelewa Hali ilipofikia sijui kwann Ukraine hashambulii ndani ya Urusi maana Urusi ni kama vile anapigana total war Hana anachobakiza akiamua kurusha makombora hajali wapi yatatua yaani ni popote tu nadhani ni muda wa Ukraine sasa kufanya hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…