IKIRIRI
JF-Expert Member
- Jan 14, 2018
- 2,734
- 3,023
Km mfuatiliaji wa mpira wa miguu utagundua askari wa ulaya wao wanaolinda usalama huwezi kuwakuta wanaangalia mpira hata km game Kali VP?
Ila bongo hata mechi ya jkt ruvu na ndanda wanaangalia shida iko WAP?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila bongo hata mechi ya jkt ruvu na ndanda wanaangalia shida iko WAP?
Sent using Jamii Forums mobile app