Askari wa ulaya hawaangalii mpira hata kwa bahati mbaya wenzetu wanamafunzo gani ?

Askari wa ulaya hawaangalii mpira hata kwa bahati mbaya wenzetu wanamafunzo gani ?

IKIRIRI

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2018
Posts
2,734
Reaction score
3,023
Km mfuatiliaji wa mpira wa miguu utagundua askari wa ulaya wao wanaolinda usalama huwezi kuwakuta wanaangalia mpira hata km game Kali VP?
Ila bongo hata mechi ya jkt ruvu na ndanda wanaangalia shida iko WAP?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom